Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

Umesahau kutupia no ya simu mkuu, wanaweza kukukumbuka kwenye ufalme wao :Cheergi:
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Samia ni mtu na robo 3, hajawahi kurupuka Wala kuhangaika na uzushi au umbea wa mtu.

Wanaanzishaga wanaacha wenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Samia ni mtu na robo 3, hajawahi kurupuka Wala kuhangaika na uzushi au umbea wa mtu.

Wanaanzishaga wanaacha wenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni kiongozi aliye kamilika kila idara. Ndio maana amewapoteza kabisa wapinzani uchwara wanaotegemeaga siasa za matukio
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika
Hivi,wewe Luca haujawahi kuvutiwa na nini kutoka kwa SSH?Acha kumchuuza.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua.
uendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.

😂 😆 Hivi we jamaa ukimaliza kuandika uwa unarudia tena kusoma?

I think unaandika then mwenyewe unacheka Sana ndio unapost

Me sidhani kama uwa unamaanisha unachokiandika
 
Hoja yako nini ndugu yangu mtanzania
Moja ya hizi siku zungumzia jinsi anavyotuingiza kwenye madeni makubwa Kila uchao huku hizo fedha nyingi tuu zinapigwa na wezi na yeye na Nchemba hawajui hata la kufunya.
Wizi Kila kona nchini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.
 
😂 😆 Hivi we jamaa ukimaliza kuandika uwa unarudia tena kusoma?

I think unaandika then mwenyewe unacheka Sana ndio unapost

Me sidhani kama uwa unamaanisha unachokiandika
Ndio namaanisha nachokiandika na kuandika nachomaanisha
 
Moja ya hizi siku zungumzia jinsi anavyotuingiza kwenye madeni makubwa Kila uchao huku hizo fedha nyingi tuu zinapigwa na wezi na yeye na Nchemba hawajui hata la kufunya.
Wizi Kila kona nchini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.
Tanzania siyo moja ya nchi zenye madeni makubwa.hatupo na wala hatujawahi kutajwa wala kutiliwa mashaka na taasisi yoyote ile kuelemewa na madeni.
 
Back
Top Bottom