Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

Kumbe na wewe umetoka CITY OF GOD
 
We huna akili ya ku argue na Mimi msimu
We ni layman tu
Nimecheka sana.

Kazi yangu nimemaliza. Halafu nyinyi ndio mnataka haki, hata unachokiongelea hukijui na huwezi kukitetea.
 
Nimecheka sana.

Kazi yangu nimemaliza. Halafu nyinyi ndio mnataka haki, hata unachokiongelea hukijui na huwezi kukitetea.
Una akili ndogo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…