Gurty Yuda
Member
- Dec 4, 2012
- 71
- 12
Mbona sielewi kabisa yaani unavyounganisha inaonyesha ni part ya masalia haswa yule mwanzisha chauma aliyesamehewa na Mbatia juzi hakuna mwana JF wa mwandiko ka huu any way ahsante kwa taarifa
Mwili uko CCM, roho iko CDM.... Jadili mambo yanayohusu chama chako CCM. Kwani wewe ndio mtetezi wa wanachama wa CDM?. Ludo hajalalamika kama amesalitiwa, wewe kimbelembele cha nini?. Je akimtaja Mwigulu ndiye aliyemsaliti, utaficha wapi shida zako?.
Mungu ni mkubwa, naona wameanza kutoka pangoni, kwajinsi jamaa alivyoandika inaonekana yeye ndiye aliye wasukia mpaka wanakamatwa, sasa kama ni mlinda usalama wa slaa wewe unataka aseme anamfahamu ili kutibua mbinu zao za kiusalama.
Wewe ulisha hamia ccm endelea kuvaa magamba yako waache wanaofanya ukombozi waendelee wewe twambie namna mnavyopanga kubambikizia kesi na utekaji na kungoa kucha
Huwezi kutaka kutupoteza na maana halisi ya Mipango ilivyo kwa Hisia zangu RUDOVICK ninaweza kusema ndo BUKOBA BOY ameingizwa kwenye kesi ili kutaka kuudanganya umma.
Asante sana Mtela Mwampamba kwa kutujuza mambo hayo mazito kuhusu CHADEMA. Mimi naamini yote uliyoeleza hapa ni sahihi na ni ukweli mtupu ila sitashangaa kama post yako ikishambuliwa au kupuuzwa kwamba ni ya kutunga kwakua kuna lundo la vibaraka wa CHADEMA humu JF ambao wanatumwa kufanya kazi hiyo.
KUHUSU KIJANA LUDO, wewe unategemea watakubali kwamba wanamjua? lazima wamkane ili kuondoa nexus kati yake na wao pale makao makuu lakini deep inside their hearts wanajua kwamba LUDOVIC ni kijana wao ila kwakua alikua undercover ni rahisi kumkana kwakua public haikujua kwamba yuko hiyo defence and security portfolio ya CHADEMA.
Hata huyo LWAKATARE wanaweza kumkana hapo baadae. Kila siku wamezoea kuudanganya uma kwamba kuna njama zinapangwa dhidi yao na kudai kwamba wasiri wao wako serikalini ili waaminiwe na uma; huu ni moja kati ya uongo mkuu ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa CHADEMA.
Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa credible na za ndani hivyo;hakuna kabisa. Wataishia tu kupata vitaarifa vya kuokoteza kutoka kwa watu wanaojifanya wako Ikulu ambao pengine ni wafagizi au vibarua. Kuhusu kesi ya Lwakatare, tuiache sheria ichukue mkondo wake.
Kamwene apolinary,
Nitamwaga mboga soon. Stay tuned.
Hiyo technology ya kurekodi kwa vikamera vidogo imetokea huku magharibi, which means kuna siku kombora litadondoka hapa na ndio utakuwa mwisho wa chadomo.
Hapa kunaelekea kumejaa chembechembe za ukweli wa uhalisia!
Asante sana Mtela Mwampamba kwa kutujuza mambo hayo mazito kuhusu CHADEMA. Mimi naamini yote uliyoeleza hapa ni sahihi na ni ukweli mtupu ila sitashangaa kama post yako ikishambuliwa au kupuuzwa kwamba ni ya kutunga kwakua kuna lundo la vibaraka wa CHADEMA humu JF ambao wanatumwa kufanya kazi hiyo. KUHUSU KIJANA LUDO, wewe unategemea watakubali kwamba wanamjua? lazima wamkane ili kuondoa nexus kati yake na wao pale makao makuu lakini deep inside their hearts wanajua kwamba LUDOVIC ni kijana wao ila kwakua alikua undercover ni rahisi kumkana kwakua public haikujua kwamba yuko hiyo defence and security portfolio ya CHADEMA. Hata huyo LWAKATARE wanaweza kumkana hapo baadae. Kila siku wamezoea kuudanganya uma kwamba kuna njama zinapangwa dhidi yao na kudai kwamba wasiri wao wako serikalini ili waaminiwe na uma; huu ni moja kati ya uongo mkuu ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa CHADEMA. Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa credible na za ndani hivyo;hakuna kabisa. Wataishia tu kupata vitaarifa vya kuokoteza kutoka kwa watu wanaojifanya wako Ikulu ambao pengine ni wafagizi au vibarua. Kuhusu kesi ya Lwakatare, tuiache sheria ichukue mkondo wake.
Ninadhani kipindi hiki ni cha subira zaidi. No research no right to say. Simfahamu Ludovic, sina sababu ya kumuonea. Wengine wanamfahamu, tusubiri mwisho kwani imeandikwa "tusihukumu' usije hukumiwa. Tumwachie Ludovic na Mungu wake.Wewe si mtu sahihi wa kuleta maelezo yanayohusiana na CHADEMA, DR. SLAA au viongozi wengine wa CHADEMA kwa sababu huaminiki na pia una chuki binafsi na CHADEMA na viongozi wake.
Tunahitaji taarifa ya mtu mwingine kuweza kufikiria kama unachokisema ni kweli au la maana tayari kuna mengi, tangu utoke CHADEMA umeyasema kwa chuki kwa nia ya kujipendekeza CCM. Umekosa credibility!! Mtu kigeugeu, asiyeaminika, hata taarifa yake haiwezi kuaminika.
Mwampamba huna jipya! Propaganda zenu wewe pamoja na masalia wote na huyu kibaraka wenu aliyeko huku CHADEMA mtaumbuka na kuaibika muda siyo mrefu. Keep watching!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums