Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

mara nyingi mkiwa na safari ndefu mkikaribia kufika mnakuwa mmechoka lakini ni kujitahidi tu, mbele yetu kuna daraja la mbao limeoza vibaya mno na usafiri wetu ni semi la uzito wa tani nyingi, hili daraja tutalivuka tu.
 
Up to this minute wanachadema still mnacheza makidamakida. Mleta uzi amekuja na hoja sasa badala muiattack hoja yake kwa hoja ninyi ndio kwanza mnaanza kumnanga. Sasa kwa mimi ambaye ckuwa nikijua ukweli huenda hapo kivipi mtanishawishi nisikubaliane na kile kilicholetwa na mtoa uzi?
 
Siasa kweli ni mchezo mchafu,na hawa CDM wanajifanya wapenda haki huku wanamkana Ludo hadharani,ama kweli maganda ya muwa hutupwa baada ya kuisha utamu,kamwe vijana tusikubali kutumika na wanasiasa kwa maslahi yao.
 
CCM + Mwigulu + NAPE at work. Mtahangaika sana na CHADEMA lakini mwisho wenu upo pale pale. 2015 hamkatizi hata kama mtatumia vyombo vya ndola kubambikizia watu kesi au kuwatungia uongo.
 
Hivi Mjengwa alikuwa akijua kuwa ludo 'anafanya kazi na cdm?'
 
Tunakushukuru kwa mchango na maono yako.Hii inatusaidia katika utendaji wa chama chetu.naamini siku ukitoka ndani ya chama chetu, siri za chama utazitoa hivi hivi.najua viongozi wangu wa chama wameliona hili, na kwa kuwa wengine hawaingii humu jf, itabidi ni-produce copy ya maneno haya niwapatie ili waendelee kukuangalia kwa jicho la karibu.Umri wako bado ni mdogo na una safari ndefu katika siasa.ukiona wengine wamekaa kimya wanaacha uchunguzi ufanyike, usifikiri hawaoni mbali, wanajua matokeo ya kutoa matamko kama haya.
 
Niseme mtela mwampamba kuwa wewe ni mtumwa,amini tu kuwa hauko chadema umevaa gamba.Issue ya uwakilishi kwenye kesi ni lazima uaminike kwanza bila hivyo hakuna anayeweza kusimama kwa ajili yako.Je ludo kama ameshasaliti kama ulivyofanya wewe kwanini watu wahangaike naye?nikupoteza nguvu ambayo ingefaa kutumika kwa ukombozi wa nchi na watu wake.
Mwampamba acha kuongelea chadema kwa kuwa ulifukuzwa watu makini wanakuona mshamba hakuna kipya utakachosema kizuri cha chadema wala rais mtarajiwa dr.slaa.
Si una degree wewe?mbona mawazo yako ya mtu ambaye hajasoma kabisa,unadhalilisha jina kuu la chuo kitukufu duniani!
chunga sana.

Mtela Mwampamba ni huyu huyu pacha wake na Juliana tuliowashuhudia wakicheza kiduku au ni mwingine?

Na siamini sinema yao iliiishia wapi, hata hii move ya kichina imesha anza kuchuja.
 
Kama huna cha kukisaidia chama chako nyamaza tu mana nahisi kama unawashwa tiGO unatamani kunwa na basha wako Mwigulu hayupo.Peleka wehu wako uko na kama Walimu wote wana akili kama yako basi tutashuhudia Anguko la Taifa ktk Elimu! Unafiki tu, Lione
 
kawaida katika maisha ni hivi:unatakiwa kutunza siri za kikundi,chama au kampuni unalofanyia kazi hata ukiacha kazi tunza siri zao ndo uungwana huo.Kwa tabia yako si rahisi kuaminika na mtu yeyote tena kwa kuwa mkigombana unasema vyote mlivyofanya pengine kwa faida ya washindani wenu.ccm nasema ,note maneno yangu leo-hutapata cheo chochote hadi unakufa labda utubu na uache kuongelea mambo ya watu hadharani pia hata kazi nzuri serikalini ama binafsi si rahisi kupata kwa kuwa huna siri!
 

Natumia simu umesababisha nibadilishe ili nitumie desktop kupitia kwenye simu ili nikugongee LIKE.
 
Hata wewe mwana magamba unajisikia sana uko vyema kwa ujinga wako na kukoswa staha wewe ndiye umerithi ile nafasi ya propaganda sio?
ni lini dr slaa akafanya uteuzi wa usalama ndani ya chama?
 
Kwel siasa Tz n itikadi mbovu ndio maana hatubadili hata kdogo. Jifunzen siasa safi vijana kama mnauchungu na taifa hili na mjaliwe macho ya kumbua ya lio mbele yenu na sio kupandisha jazba zenu bla ujuz wa kutafakuri hatima zenu. Leo hii Ludo yupo ndan mnasema ya kusema hamtaki kusumbua akili zenu.......Dr. Slaa kumkana Ludo kuna maana zaid ya 1 vjana tafakuri1) Yawezekana n jasusi wa CHADEMA ndio kasainiwa kazi na chama chake akasambaze propaganda ngelezan2) Yawezekana Dr. Slaa na wengne wamemkana kwa kulinda maslai ya chama3) Yawezekana ndio anakomazwa kijasus zaid kwa mpango wa 2015 CHADEMA wakichukuwa nchi aje awe TISS agent mzuri kwa maslahi ya chama........................Wala tafakaru?
 
Mtela,

Umeshasema kuwa alitumika katika kadhia mbalimbali ila Dr.Slaa amemgeuka,hivi kwa akili ya haraka haraka,kama kweli huyu kijana LUDO kama unavyosema alivyotumika na CDM na leo wanamgeuka basi tutasikia mengi toka kwake,lakini pia nawe Mtela kuna kitu unachokijua zaidi ambacho kama kweli taifa letu lina uzalendo ulitakiwa uwe polisi unatoa maelezo.Nafikiri ni wkati muafaka sasa kuunganishwa kwenye ushahidi dhidi ya kadhia yote maana inaonekana kuna kitu unakijua.
 
Badala ya kukaa na kutafakari nini kasema na tupime uzito na ukweli wa hoja ya Mtela, tunapoteza muda kumtukana na kumshambulia.:tape2::tape2::tape2:
naona shida kubwa sana kwa wengi wetu yaani badala ya kujadili hoja na kutaka kujustfy kama yuko mkweli ama mwongo watu wana kurupuka kwa kashfa na matusi.
 
kumbe ndug yako??? so yawezekana ni mwenzako cyo??
 
DUCEeeeeee!
gwakisa
ganzi hata wewe?
haya endeleeeni kutupa script!
tunasubiri movie
director ameshafanya casting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…