Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Kwa hiyo huko kwenu mtu kupata mume sio maadili? Even your mother?

Sina uhakika kama naongea na mtu au ofisi ya propaganda maana nilianza kutukanwa mimi sasa naona na mama yangu ameunganishwa. Kazi njema na uhakika maboss wenu wafurahia utendaji wenu wa kazi.
 
Fisi mwizi kastukiwa sasa anataka kufa na mtu. wewe tunakujua kuwa ni fisi mwizi, kakae na hao jamaa zako majambazi. unadhani kwa porojo zako hizi tutahama chadema. kweli kenge ni kenge tu.

Acha kuendekeza kijana,unadhani kwa hizi takataka zako ulizotuwekea hapa ndo utatushawishi kuhama Chadema!?Umerogwa kweli wewe,halafu tukihama Chadema twende wapi CCM,CCM B etc?Kama huna cha kupost ni vema ukawa msomaji wa thread walizoandika wenzio kuliko kutuletea uharo hapa,njaa tu ndo zinazowasumbua Pumbav.u zenu nyie.
 
Sijui kwenu ila kwa mtu aliyelelewa kwenye familia yenye maadili hawezi kutumia lugha hizi kwenye mazungumzo ya kiistarabu.
Vilevile mtu aliyelelewa kwenye familia yenye maadili kama wewe hawezi kutoa hukumu kuwa mtu fulani ni muuaji wakati hana ushahidi wowote. Pili hawezi kufurahia maradhi ya mtu mwigine kama unavyofurahia wewe kisukari kinachomtesa Rwakatale!
 
Dah! Huyu kijana ni mtu wa ajabu kweli kweli. Ndipo ule usemi 'He who speaks to you about others, will speak to others about you'. Hivi ni lazima yote uliyoyafanya kwa mume wa kwanza ukaeleze kwa mume wa pili au mke wa kwanza kwa mke wa pili? Ni kwamba kwa kufanya hivyo unahatarisha uaminifu wako. Mwanzoni utaonekana kama mtu wa maana kwa kuwa unatoa siri za adui. Lakini wakishakupata hawatakuwa na sababu ya kuwa na wewe kwa kuwa utakapowaaga utakwenda vilevile kutoa siri zao. Dada mmoja alikuwa anawasema wafanyakazi wenzake kwenye ofisi za wazungu walikokuwa wanafanya kazi. Kilichotokea ni kwamba wote walifukuzwa kazi. Ushauri wangu kwa wanaohama vyama wawe makini kwani wakiendelea kujivua nguo watadhalilika sana. Mimi siyo shabiki wa chama ingawa nina chama changu. Kwani elimu tunazopata kwenye vyuo vikuu hazitutofautishi na hao ambao hawajafika huko? Tafakari.
:disapointed:
 
Narudia, kwa jinsi watu walivyoichoka CCM hata kama CDM ikifanya ushenzi na kwama yakiwepo mazingira ya ushindani wa kweli( free,fair and transparent elections) watu wataichaguwa CDM tu. Wataichaguwa si kwa sababu wamesoma sera zake na kuzikubali bali kwa sababu ya chuki na hasira dhidi ya mfumo na utawala uliopo madarakani.
 
mtela...narudia wa wasiokujua watahangaika sana,narudia tena nilikufahamu ukiwa duce naelewa ulivo mwepesi wa kuropoka kwan hata pale duce ulikuwa ukipayuka sana,kula kwanza hizo pesa za ununuliwaji zikiisha utaelewa tu,tena utakuwa umechelewa,eti slaa mara oohh wewe utaisoma na kama kweli wewe unakubalika huku mbozi naomba uje uhutubie tuone kama hata sekunde itaisha....karibu nyumbani na endelea kutumika kama kondomu,jitambue mdogi wangu!
 

Kwa tunaomfahamu hatupi shida.Nadhani hata hayo unayopost utakuwa unaandikiwa.Eti nawewe chadema wapoteze muda kukujibu.Sisi tunaokufahamu tunajua hizo ni njaa tu.
 
Kama huna cha kukisaidia chama chako nyamaza tu mana nahisi kama unawashwa tiGO unatamani kunwa na basha wako Mwigulu hayupo.Peleka wehu wako uko na kama Walimu wote wana akili kama yako basi tutashuhudia Anguko la Taifa ktk Elimu! Unafiki tu, Lione

badala ya kujibu hoja unamtukana mtoa hoja na kwa akili hyo mnataka kutuongoza hii nchi basi afadhali waendelee ccm km akili zenyewe ndo hzo.
 
nyie wengine kama hamna vya kuandika..ni vizuri kama mngekua mnakaa na wake zenu tu...hasa kipindi hiki cha vua za masika...
 
Naona sioni cha maana ambacho umekitoa hapa kWenye Jamavi.nakushauri tumia fani yako ya ualimu ukafundishe watoto wetu,achana na kuganga njaa wakati taaluma unayo.
 
Ni jambo gumu na karibu kabisa na kutowezekana kwa mtu anayewaza sawasawa kukubali mabadiliko kisha kupinga kile kiletacho mabadiliko hayo, na ikiwa atakuwepo mmoja wa kuweza kufanya hivyo basi atakuwa amejiingiza katika Utata mkubwa wa kimantiki.

Ni sawa kabisa utata huo na utata wanaojiingiza chadema katika kesi ya Lwakatare na Ludo.,hamuwezi kukubali kuwa video iliyooneshwa ni ya lwakatare lakini maneno yakawa si yake.,ni kujiingiza katika utata mkubwa.
 
How comes wewe unataka kutuaminisha kwamba ile video ni ya kweli wakati wote tunajua wewe ni mwalimu una visasi na chadema,umepewa kazi rasmi na mwenyekiti aliyechoka wa CCM vipi tukuamini unazo kweli au ndio laana inakuandama wewe
 
Ukweli utajulikana. Kama haujui ni bora uonekane haujui kuliko kujifanya unajua kumbe haujui. Kwa wenzangu mnao argue kama vile mnajua better kukaa kimya kuliko kujifanya unajua kumbe unatu mis lead. TUKUE.hapo juu kuna utoto utoto wa ajabu....argue don't shout.
 
Dalili zinaonyesha kuwa, kama ungekuwa bado upo kwenye kile chama na wewe ungekuwa gaidi. Saa hizi ungekuwa unanyea debe kule kwenye ule mjengo. Achana na hiyo mijigadi.
 
ngoja nipite nisipate ban ya bure kwa sababu ya huyu pumba...........f na walimu design hii ndio matokeo ya uoza tunaoona mashuleni leo. Pole wanetu.
Hello Mtela tukusaidie nini tafadhali!!
 
Mwampamba,

Mbona umejitia kabali. Jaribu kusoma ethics za kuwa kwenye organizations.

USALITI;
Usaliti ni neno pana sana...,
Lina madhara mengi sana...,
Hujuma hukwamisha mambo mengi sana.
..,
Tamaa huzaa usaliti...,
Usaliti huleta maumivu kwa waliokuamini...!

.
 
Kijana falsafa yako hii..,imepanda baada ya kujiunga CCM..,mbona zamani tulikuwa hatuyasikii haya we kinabo.
 
Mkuu mie sio mgeni hapa
Niko tangia enzi za Jambo forums/radio , ni miaka mingi sasa

Mkuu Chriss Lukosi suala sio ugeni ama uenyeji, kimsingi unanishangaza kutambia uenyeji ilhali kanuni ya kutotaja majina inapokiukwa unaona sio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…