Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Uzuri wa Maisha yako unatokana na wewe mwenyewe na Personality yako. Sasa hasira na maneno machafu ya nini humu MMU. Matusi peleka kwenye majukwaa ya Simba na Yanga sio humu kwenye jukwaa la Marafiki na Mahusiano
mahusiano gani kenge wewe.umeshindwa kutongoza demu huyo unajifanya kumjua sana

sema tukusaidie kurusha voko Kama umeshindwa..
 
We dr namugari faller sana yaani Mimi unanifananisha na Nakadori ? Natoa masaa mawili uwe umeshaniomba msamaha lasivyo nitakuchukulia hatua kali sana za kimaisha 🀣🀣🀣🀣🀣
 
mahusiano gani kenge wewe.umeshindwa kutongoza demu huyo unajifanya kumjua sana

sema tukusaidie kurusha voko Kama umeshindwa..
Kwa Mtu mwenye mdomo mchafu kama wewe na hasira za kipumbavu mpaka humu mtandaoni. hufai kwa lolote kwenye maisha halisi.
 
ahaa usijali hayo nimambo ya kawaida kwa sisi vidume.

hebu nitumie no yako ya mpesa pm kunakitu nikiweke sawa Mana kunatatizo la kiufundi nimeliona.
Muache kaka wa watu hanaga maneno na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…