Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

Ni kweli mikoa ya katavi na rukwa imesahaulika katika uteuzi, it is irrational
 
Umeandika uzi
Lengo lako umponde makamba lakini makamba ana akili kuwazidi watu wenu
 
January Makamba miongoni mwa wanasiasa wenye IQ kubwa ndo maana sikushangaa kuwa na urafiki mkubwa na Ruge RIP kwani ndege wafananao huruka pamoja sitoshangaa akija kuwa rais wetu hapo badae
Wote walikuwa wahuni tu kula tenda za serikali
 
Alikuwa rais ambaye aliwakamua Sana matajili,,, na alituaminisha kuwa Kila tajili NI fisadi,,, hivyo tuwachukie huku akitaka Kodi na pesa zingine kwa nguvu,,, ndio mzee yule alivyokuwa,,,kwa hiyo ukisema alikuwa Bora na mtetezi wa wanyonge maana yake ni kwamba na wewe unaamini kuwa matajili wote NI mafisadi
 
Aaaaaaa acha kuongea sana habari za Tax watu tunafahamu historia yake nukta kwa nukta, elimu yake ilianzia wapi, elimu yake ya PhD alivyoipata, wazee gani walikuwa wanam.....mpaka akapewa fadhira, wewe kaa kimya tu usije ukamharibia Tax wa watu!!

Tunamtakia kazi njema!!
 
Wako watu tangia awamu ya 4 wanasifiwa kuwa wanao uwezo. Ukichunguza sana uwezo walio nao ni kwenda kubooster ndago huko mlingotini, pemba, makongorosi, sumbawanga, ujiji, Togo nk.
 
January amewekwa ili alinde maslahi ya akina JK na Rostam dhidi ya nani ?

Hayo maslahi yalikua yanalindwa na nani kabla January hajawa waziri wa nishati ?
Si ndio maana uliona walianza kujitenga na bedui mwendazake. Bedui mwendazake hakulinda maslahi yao, ndio maana vita ikawa kubwa. Au umesahau?
January hapo yupo tu Kama mdoli, Kuna sehemu remote ipo
 
Kwa elimu yako ya kidato Cha 6 , huwezi kuelewa chochote. Mengi yapo juu ya uwezo wako
Form six ya zamani ni sawa na Masters ya sasa hivi mnazopata kwa kuvua chupi na kugoogle...kkkkk
 
Angekuwa amesomea Ph.D yake Tanzania au mtandaoni kama kama akina Mary Nagu nisingekuwa na mashaka kuhusu madau yako, ila huyu kasomea Tsukuba Japan; tena kuanzia masters. Una ushahidi kuwa kuna jopo la maprofesa wa kijapani walimpa Ph.D ya bure huko? Angalia kati ya publications zake zilizotokana na research Yake ya Ph.D. Kama kuna mtu alimsaidia kumpa data kutoka serikalini, siyo kuwa alimfanyia analysis na kumwandikia thesis pamoja na publications zote hizi. Ingawa siyo strong publications lakini aliandika mwenyewe hadi chuo chake kuridhia. Kama una matatizo naye binafsi, yashughulike huko pembeni lakini siyo kushambulia characater ya mtu bila ushahidi wowote.

 
Form six ya zamani ni sawa na Masters ya sasa hivi mnazopata kwa kuvua chupi na kugoogle...kkkkk
Ukasome form 6 zamani alafu kazi utafute sasa hivi? Nimegundua huna akili
 
Ukasome form 6 zamani alafu kazi utafute sasa hivi? Nimegundua huna akili
Kwani kuna ubaya kutafuta kazi? Wewe ndio unaonilisha? Wewe sio Mungu nitaishi tu hata kama sina kazi.
 
Nashindwa kutafuta neno zuri la kuwaeleza watu ambao wana msifia Magu alikuwa akinyanyasa sana wananchi tulikuwa tuna rais dikiteta haijapata kutokea
 
Naomba mnijuze, wazanzibari kuwekwa kwenye wizara zisizokuwa za muungano ni sahlhi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…