Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Ni kweli mikoa ya katavi na rukwa imesahaulika katika uteuzi, it is irrationalJapokuwa Rais hapangiwi nani wa kuwateua katika nafasi mbalimbali, lakini ni sahihi wizara isiyo ya Muungano kupangiwa watu kutoka upande wa pili wa Muungano.Pili ni sahihi mkoa mmoja kuwa na mawaziri watatu, kutoka kwenye majimbo, wakati mikoa mingine haijatoa mawaziri kabisa.