Pre GE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu majimbo yako 264 kwahiyo wakisema waweke huo usawa tutakuwa na wabunge 528 wa kuchaguliwa ambao ni zaidi ya hawa waliopo. Utakuwa ni mzigo mwingine mzito kwa wananchi.
Si lazima idadi ya majimbo ubakie nyingi hivyo, hali kadhalika posho
 
Hapana hatutasema. Tutawaonyesha kwa vitendo kwenye sanduku la kura.
Hilo la kuwashinda wapinzani kwenye box la kura kwa kura halali limeshashindikana, na ni kama halitakaa liwezekane tena, sana sana watu washalipuuza.
 
Mkuu hukuelewa vizuri

Lengo hapo ni kufuta Viti maalum vinavyoteiliwa kwa mizengwe na rushwa za kuvuana nguo za ndani.
 
Hilo la kuwashinda wapinzani kwenye box la kura kwa kura halali limeshashindikana, na ni kama halitakaa liwezekane tena, sana sana watu washalipuuza.
Kwenye Kura hilo halina mpinzani, Chadema wameshavuka level ya kushinda kwa Kura imebaki kwa mtangaza mshindi tu.

Ccm wanajua hukweli huo
 
Equal footing ni kugombea, kwani waliopo Bungeni wamefikaje?
Ok tuseme last time Uchaguzi uliibiwa, miaka ya nyuma vipi?
Kipindi kina Mdee wanashinda kawe walishindanishwa na wanawake wenzao?

Ni mjinga tu ndio hataona Kinachotafutwa hapo......
Ambacho hujaelewa nini? Hatutaki wanawake waingie bungeni kwa viti maalum ila ni lazima wapigiwe kura majimboni sasa whether ni wagombea wawili kila jimbo kama ilivyo Uganda is another issue ila hoja nzima ya equal footing ni sababu women are majority in Tanzania thus it has to be reflected in legislative representation.

As simple as that
 
Watu wanataka tuongeze wabunge? CHADEMA mbona wanaaibisha hivi?
 
Hoja ya CHADEMA ipo sawa, kila mbunge wa kuchagulia ana Viti maalum wake. Hoja yao ni kwamba hata Viti maalum wapatikane kwa njia ya Masanduku. Kumbuka kila Mbunge anaepatikana kwa chama flani basi kuna "reward" au turufu ya chama hicho kupata viti maalum.

Hoja ipo sawa ni chuki zako tuu na husda.
 
Una uhakika hayo yatafanyika? Hebu fikria kwa mfano tume hautaounguza majimbo nini kitatokea? Kwa mleta mada kwenye hesabu yake ameweka viti maalum? Mbona hesabu yake inatokea kwenye wabunge wa majimbo yaani 264? Ukweli hii hoja CHADEMA tumekurupuka! Hoja zingine zisimame kama zilivyo!
 
Hapana, hii ya wabunge wawili siyo viti maalum hivi ni vya kupigiwa kura, viti maalum bado vipo 30% ya wabunge wa kuchaguliwa na orodha italetwa na chama husika in ascending order! Kazi kweli kweli!
 

Hoja yako ya mzigo wa kodi haina mashiko sana,cha kufanya ni kupunguza mishahara kodi na marupurupu kwa hao wabunge.
 
Majimbo yako 264. Kwahiyo ni sawa kuwa na wabunge 528? Kwa sasa wabunge wote wako 393.
 
Mkuu hukuelewa vizuri

Lengo hapo ni kufuta Viti maalum vinavyoteiliwa kwa mizengwe na rushwa za kuvuana nguo za ndani.
Kwahiyo tunafuta viti maalum 129 kwa sasa na kuongeza wabunge 264? Huko Ufipa mlisoma HKL wote?
 
Mbona inaonekana wewe ndiyo mpumbavu?

Kama ungekuwa una akili ungekosoa hoja zake na kuonesha mapungufu ya hoja yake.

Kukimbilia kumtukana mtoa hoja ni kudhihirisha huna akili ya kuelewa hoja yake, na huna uwezo wa kuonesha mapungufu ya hoja yake.
Nasema mleta mada ni mpumbavu sana, siwezi kukosoa upumbavu ni Sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukiamini atacheza. Ni mpumbavu sana! I mean it. Full stop πŸ›‘
 
Watanzania wengi wao ni wajinga wakubwa kama wewe na ndio maana CCM inatawala mwaka wa 70 unakaribia. What
 
Mkuu pendekezo hilo wala halina shida kwa upande wa gharama. Kwa kuwa marupurupu ya sasa ya mbunge wa jimbo na stahili zake nyingine zote, vinaweza kugawanywa mara mbili ili viendane na mahitaji ya wabunge hao wawili.

Mathalani, kama mbunge wa sasa analipwa mshahara wa Tsh 12Mn, basi kupitia mapendekezo hayo wabunge hao wawili wa jimbo husika watalipwa kila mmoja Ths. 6Mn. Kwa upande wa posho z vikao kila mmoja itapaswa alipwe nusu ya kile anacholipwa mbunge wa sasa, n.k..

Kuliko kuwa na nafasi za wabunge wanawake wa viti maalum na tena wasiokuwa na majimbo ya uwakilishi wa moja kwa moja. Ni heri wapitie mchakato wa kupigiwa kura majimboni mwao ili kuweza kupima kukubalika kwao majimboni kuliko kutokana na utashi wa kukubalika kwao ndani ya vyama vyao vya kisiasa.

Ukichunguza kwa undani zaidi ubora wa pendekezo hili lenye mantiki, utaona dhahiri kuwa gharama kwa ujumla za uendeshaji wa bunge zitapungua sana, kwa kuwa hakutakuwepo tena na gharama za wabunge wa viti maalum, bali zile za wabunge wa jimbo zitabakia kuwa ni zile zile.
 
Umewahi kulipa kodi?
Hakuna asiylipa Kodi nchi hii, kumbuka usipolipa direct, utalipa indirect. Kama hujui sema ueleweshwe kuhusu Kodi. Mfano mdogo tu, kitendo Cha kuwa online, vifurushi umeshalipia Kodi tayari.
 
Khaa
Khaaa,CHADEMA wahuni aisee!!! Wabunge wa wili wa nini wakati hata mbunge mmoja wakati mwingine hakuna tunaloliona wanafanya? Nq huyo ukubwa wa bunge nani atalihudumia? Bunge likivunjwa kila mbunge analamba 250,000,000 je watagawana mshahara na kiinuamgongo?
Na kama wametoka vyama tofauti je watakaa ofisi Moja?
 
πŸ‘πŸ†’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…