Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

Sio bure wewe ulikua sista wa kanisa katoliki ukazaa ukafukuzwa..sasa chuki ndo zimetaradadi..
Habari yako Sr Fausta..
😰😰😰🥺🥺🥺

Eeh bwana wee, ulijuwaje?

Nikaiona nuru ya Uislam. Wewe bado hujaiona tu?
🥺
 
😰😰😰🥺🥺🥺

Eeh bwana wee, ulijuwaje?

Nikaiona nuru ya Uislam. Wewe bado hujaiona tu?
🥺
Acha chuki sasa Sr Fausta...ww komaa na dini yako hubiri mazuri ya dini yako uliyohamia?? Katoliki huwa haimsemi mtu wala kuhubiri kuhusu dini ya mtu mwingine abadani..yani ww unachuki za waziwazi...wasamehe waliokufukuza convent maana ndo utaratibu wao...
 
Muumini inatakiwa afundishwe kwa utulivu aelewe injili imguse na Sio kufokewa na kupigiwa kelele. Roho Mtakatifu Akai kwenye mahubiri ya makelele na kufokafoka.
 
Ukitaka kujifunza vizur neno la Mungu likaingia na uelewe watafute walimu Hawa.
1.Goerge Mukabwa
2.Mwl Mwakasege
3.Mwl Grace
4. Dr David Mbaga wa Mahubiri tv
5.Japhet Magoti
 
Hapo hakuna KKKT Wala RC wote nyinyi mmepgwa na mmeenda Chaka ikiwa Yerusalem ndio ambapo ndipo alipozakiwa Yesu lakn ndio sehemu ambayo Kuna Wakristo wachache kuliko Waislam na Wayahudi hapa Kuna cha kujifunza kwa wale wenye akili timamu na zenye maono
 
Uislam pekee.

Hakuna mfumo kama wa kanisa kwenye Uislam. Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi Mungu. Kila kitu ni wewe na Muumba wako tu.
Kati ya ukristo na uislamu wapi kuna uhuru wa kuabudu
 
Kumbe kuna waislamu jina tu ila ikija kwa wakatoliki jina tu una attack kanisa zima
 
Mm mwenye nimeshangazwa na ujinga huo
 
Hii mada inahusu KKKT na Roman Catholic.

Ila Bibi kigagula ameshavamia Post na kuleta mambo yake ya Makobazi humu.
Kwakweli kanikera haijawahi kutokea ndugu wanagombana kaa kimya kama unaweza kagombelezee
 
Hapa ndiyo utaiona neema ya Uislam, hakuna kura katika Uislam, siku ukikuta Waislam wanapiga kura wapate kiongozi elewa kuwa hao siyo Waislam na hawafati mafundisho ya Uislam.
We hujielewi kabisa upo kiushindani tu. Hiki kilichotokea KKKT mpaka kuzusha taharuki hii, ndo kinachofanyika kwenu kupitia BAKWATA kila siku, sema nyie bado hamjastuka tu. Lakini BAKWATA ni tawi la CCM na lazima kiongozi afanyiwe vetting na system au anakuwa mtu wa system kabisa.

Lakini hiki kitu hukikuti ndani ya kanisa la RC, hawaingiliwi na system yoyote kuwapangia viongozi, hiki ndo kinachoongelewa hapa. We umekaa na mada zako tu za kuchomeka wala hazina uhusiano wowote na mada husika.
 
Its all about mtazamo, kilicho sawa kwako si lazima kiwa sawa kwa mwenzako.

Common sense is not common to everybody.
What common to you si lazima iwe common to others.

So accept the reality and move on!!!
 
halafu hao wanawateulia viongozi wao tabia zao zinakera mpaka wanaoamini shetani.
 
Labda hutuelewi, soma: https://www.jamiiforums.com/threads/bakwata-si-chombo-cha-kiislam.2123675/unread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…