Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

Ila yuko mioyoni mwa watz waliowengi mkuu.
Labda moyo wako pekee lakini walio wengi wana majeraha makubwa yaliyosababishwa na kiumbe hiki. Hakika kifo chake kilikuwa faraja kwa mamilioni ya Watanzania!
 
Labda moyo wako pekee lakini walio wengi wana majeraha makubwa yaliyosababishwa na kiumbe hiki. Hakika kifo chake kilikuwa faraja kwa mamilioni ya Watanzania!
Uko mji gani? Pita mitaani umseme vibaya hasa kwa watu wahali ya chini. Ukitoka salama ukatambike.
 
Labda moyo wako pekee lakini walio wengi wana majeraha makubwa yaliyosababishwa na kiumbe hiki. Hakika kifo chake kilikuwa faraja kwa mamilioni ya Watanzania!

Kweli kabisa, watu wanaongea tu hawajui jinsi alivyoumiza watu wengine. Kuna mfanya biashara alikutwa na bilioni moja kwenye akaunti akakamatwa na kupelekwa selo.

Akiwa selo akaambiwa atashtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Ndani ya siku Moja akajinyonga akiwa selo. Unadhani familia yake inamuonaje Magufuli
 
Uko mji gani? Pita mitaani umseme vibaya hasa kwa watu wahali ya chini. Ukitoka salama ukatambike.

Acheni kutisha watu. Eti kumsema vibaya. Mbona alipokuwa hai alisemwa vibaya tu. Watu wanaona aibu kuisema maiti, wameamua maisha yaendelee.
 
Kila mtu ale urefu wa kamba jamani hamuerewi
 
Hata me yameisha nipata, dawasco walinikatia maji kimakosa eti wanadai elfu 30000/ela ya miezi miwili,nikaenda hofisini kwao tukamalizana, Sasahivi nina kama wiki,ukiwapigia wananiambia mpaka nimlipe fundi elfu 15000 ndipo yarudishwe, kwakweli Sasahivi tabu tupu
 
Attachments

  • 4899883-e59fbc83cc567d0065df707486fdc276.mp4
    5.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…