Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
"Private" ama "Warder", cheo hicho idara ya polisi hakipo.vyeo vipya mwaka jana na mwaka huu.
level zote sio private.
kuhusu kuwa utumishi sina uhakika ila katibu mkuu ni boss wao pia.
Man, huwajui vizuri polisi wewe...vyeo vipya mwaka jana na mwaka huu.
level zote sio private.
kuhusu kuwa utumishi sina uhakika ila katibu mkuu ni boss wao pia.
Hakika umenena!Huyu jamaa alikuja na uwajibikaji kwa maafisa utumishi walikuwa wamejisahau.Alianza kushughulikia tatiZo sugu la upandishaji vyeo watumish wa umma,ulipwaji wa madeni na stahik mbalimbali.Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.
Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa maafisa utumishi.
Kifupi kila mtu angefanya kazi kama taratibu za kazi zinavyo taka.
Sio unaamka tu kwakuwa unamamlaka unasitisha likizo, unalimbikiza stahiki za mtumishi, unamcheleweshea haki zake n.k
Hayo yote Mchengerwa naona alikuwa anayanyoosha ipaswavyo.
Pengine siku moja atarejeshwa wizarani kama ilivyotokea kwa waziri wa afya Mwalimu.
kila la kheri
Tatizo ni kwamba, mnategemea kuwe na sababu za kimantiki za kwa nini huyu katolewa hapa, kapelekwa pale.Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.
Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa maafisa utumishi.
Kifupi kila mtu angefanya kazi kama taratibu za kazi zinavyo taka.
Sio unaamka tu kwakuwa unamamlaka unasitisha likizo, unalimbikiza stahiki za mtumishi, unamcheleweshea haki zake n.k
Hayo yote Mchengerwa naona alikuwa anayanyoosha ipaswavyo.
Pengine siku moja atarejeshwa wizarani kama ilivyotokea kwa waziri wa afya Mwalimu.
kila la kheri
Umenena mnooTatizo ni kwamba, mnategemea kuwe na sababu za kimantiki za kwa nini huyu katolewa hapa, kapelekwa pale.
Wakati inawezekana mabadiliko hayana rational explanation zaidi ya kufanya shakeup tu ya kuonesha mimi Rais na nina nguvu ya kufanya mabadiliko, na labda ndiyo maana mkaambiwa waliokuwa wanajitayarisha kwa mbio za 2025 wataondolewa, halafu walioondolewa hawaelekei kabisa kuwa ndiyo hao!
kumpa muda?amepita wizara ngapi toka enzi,amefanya vizuri wapi huyu vuvuzela la ccmTumpe muda Jenister Mhagama anaweza kuwa bora kuliko Mchengerwa
"Private" ama "Warder", cheo hicho idara ya polisi hakipo.
Kuna jina flani wanaitagwa, nimelisahau!
Sio watumishi tu, hata sisi wananchi wa kawaida tulimwelewa. Alikua kutupoza na kutupa faraja, DAIMA alihubiri haki. Mama tunakuomba mrudishe Mchengerwa. Mama tunakusihi sanaMhe. Rais kwanza pole sana kwa majukumu ya hapa na pale katika kuijenga nchi yetu.
Mhe. Bila kukuchosha tunakuomba sana umrudishe Mhe.Mchengerwa pale utumishi, katika kipindi chake akiwa utumishi amefanya kazi iliyotukuka na kila mtumishi amemkubali,tunakuomba sana Mhe. Rais, sikia sauti hizi za watumishi na uzifanyie kazi.
Utumishi haitakujapata waziri kama Mary Nagu na katibu mkuu wake Joseph Lugumiamuheto.Sio watumishi tu, hata sisi wananchi wa kawaida tulimwelewa. Alikua kutupoza na kutupa faraja, DAIMA alihubiri haki. Mama tunakuomba mrudishe Mchengerwa. Mama tunakusihi sana
Mkuu mbona una id nyingi[emoji23][emoji23][emoji23] unapost halafu unajikomentisha... Mchengerwa bana, unachekesha na macho yako mekundu kama pua ya sisimizi