Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

vyeo vipya mwaka jana na mwaka huu.
level zote sio private.

kuhusu kuwa utumishi sina uhakika ila katibu mkuu ni boss wao pia.
"Private" ama "Warder", cheo hicho idara ya polisi hakipo.

Kuna jina flani wanaitagwa, nimelisahau!
 
Kwakweli naona Mchengerwa alikuwa anafanya vizuri sana.
 
vyeo vipya mwaka jana na mwaka huu.
level zote sio private.

kuhusu kuwa utumishi sina uhakika ila katibu mkuu ni boss wao pia.
Man, huwajui vizuri polisi wewe...

Ni kweli, last year kundi la mwisho lilichukua Ukoplo wao mwezi november!! Uliza majority waliingia CCP lini! Kada pekee inayopanda vyeo mapema ni wale wanaoingia na shahada ya kwanza, kwahiyo haiwezi kuwa ajabu!!
 
Dahhh wadanganyika bado tu mna imani na viongozi wa kisiasa?
Yaani uongozi kwetu sisi binaadam na hasa huku kusini mwa jangwa la Sahara ni kama kuokota dodo chini ya mnazi, hata mtu awe kanyooka vipi kimaadili , kidini nk , ukitaka kumtoa relini we mpe hata ka ubalozi wa nyumba kumi.
Ndio maana watu wenye angalao na chembe za uadilifu hawataki hata kusikia hiyo kitu inaitwa uongozi kwa kuwa wanajua ni Uongozi ni kununua Jehanamu mbunguni.
Hata hawa wanaitwa wapinzani woote ni timu fisi tu, wakipewa tu uongozi ni mwendo wa kuibia wanawanchi maskini.
Ukitaka kujua kuwa uongozi ni changamoto hata Mungu kahidi pepo ya juu kabisa kwa kiongozi muadilifu hapa duniani, kinyume chake viongozi wengi watachomeka moto huko mbinguni.
 
Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.

Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa maafisa utumishi.

Kifupi kila mtu angefanya kazi kama taratibu za kazi zinavyo taka.

Sio unaamka tu kwakuwa unamamlaka unasitisha likizo, unalimbikiza stahiki za mtumishi, unamcheleweshea haki zake n.k

Hayo yote Mchengerwa naona alikuwa anayanyoosha ipaswavyo.

Pengine siku moja atarejeshwa wizarani kama ilivyotokea kwa waziri wa afya Mwalimu.
kila la kheri
Hakika umenena!Huyu jamaa alikuja na uwajibikaji kwa maafisa utumishi walikuwa wamejisahau.Alianza kushughulikia tatiZo sugu la upandishaji vyeo watumish wa umma,ulipwaji wa madeni na stahik mbalimbali.
 
Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.

Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa maafisa utumishi.

Kifupi kila mtu angefanya kazi kama taratibu za kazi zinavyo taka.

Sio unaamka tu kwakuwa unamamlaka unasitisha likizo, unalimbikiza stahiki za mtumishi, unamcheleweshea haki zake n.k

Hayo yote Mchengerwa naona alikuwa anayanyoosha ipaswavyo.

Pengine siku moja atarejeshwa wizarani kama ilivyotokea kwa waziri wa afya Mwalimu.
kila la kheri
Tatizo ni kwamba, mnategemea kuwe na sababu za kimantiki za kwa nini huyu katolewa hapa, kapelekwa pale.

Wakati inawezekana mabadiliko hayana rational explanation zaidi ya kufanya shakeup tu ya kuonesha mimi Rais na nina nguvu ya kufanya mabadiliko, na labda ndiyo maana mkaambiwa waliokuwa wanajitayarisha kwa mbio za 2025 wataondolewa, halafu walioondolewa hawaelekei kabisa kuwa ndiyo hao!
 
Umenena mnoo
 
BINAFSI NILIMPENDA MCHENGERWA KATIKA MAWAZIRI KWA HURUMA KWA WAFANYAKAZI ,UWAZI, KUWA MTUMISHI MKUU, MTOA MATUMAINI NA KUJITUMA KWAKE. OF COURSE YA HUKO JIKONI HATUYAJUI LAKINI NDIVYO TUNAVYOMJUA.
 
Mhe. Rais kwanza pole sana kwa majukumu ya hapa na pale katika kuijenga nchi yetu.

Mhe. Bila kukuchosha tunakuomba sana umrudishe Mhe.Mchengerwa pale utumishi, katika kipindi chake akiwa utumishi amefanya kazi iliyotukuka na kila mtumishi amemkubali,tunakuomba sana Mhe. Rais, sikia sauti hizi za watumishi na uzifanyie kazi.
 
Sio watumishi tu, hata sisi wananchi wa kawaida tulimwelewa. Alikua kutupoza na kutupa faraja, DAIMA alihubiri haki. Mama tunakuomba mrudishe Mchengerwa. Mama tunakusihi sana
 
Daah Mchengelwa bonge la waziri ambae kwa kipindi hiki alihitajika sana na watumishi.Mchengerwa alikuwa mfariji wetu,muungwana aliedhamiria kwa haki kuondoa unyanyasaji wa watumishi wa ngazi ya chini ...hakika tumaini la watanzania hasa watumishi tumevunjika moyo please#Mchengerwa arudishwe utumishi.Huyu wa sasa alileta kikokotoo ambacho wazazi wetu kimewaathili,mfano watumishi wa Tanesco na mabenki(NBC)mafao yao ni madogo unakuta MTU kaitumikia anastaafu analipwa mafao millioni ishirini au kazidi millioni thelathini.Mchengerwa angeshughulika na hili ila huyu wa sasa hakubaliki na watumishi ni mnyonyaji.
 
Akheri Jenister ajiuzulu kwani inaonekana wazi watumishi wa uma na wastaafu hawana imani na hawajajua sababu za ujio wake.

Chochote kitakachotokea watumishi waanze kujipanga kwa migomo na maandamano nchi nzima.
 
Mchengerwa arejeshwe Utumishi!
Ombi la watumishi kwa Rais.
Mhagama hafai.
 
Back
Top Bottom