Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Mchengerwa alikuwa very smart na alishaanza kuwafanya Watumishi waipende Serikali yao na waone inawajali of which ndiyo kazi ya kwanza ya Mwanasiasa,kupigiwa kura kunafuata.Alifanya vyema sana sijui nini kimetokea.
Exactly
 
Naunga mkono hoja, Mheshimiwa Rais Mama Samia turudishie Mchengerwa utumishi. Hata Lile zoezi la kupandisha madaraja liloenda vizuri. Ki ukweli alisimamia vizuri ile wizara.

Huyu Mhagama ana roho mbaya, mbaguzi,hana ufanisi. Sijawahi kuona wizara anaongozi imefanya vizuri.
 
kwa mhagama...soon Ndjembi will be frustrated kama mavunde na katambi.....mama mbea huyo ni balaa.
 
NONSENSE
 
Naunga mkono..alifit sana utumishi
 
Ombi langu kwa Rais wetu mpendwa Kama ikimpendeza amrudishe huyu Waziri kwenye Wizara maana aliitendea haki Sana Sana. Mheshimiwa Rais tunakuomba Sana sana
 
Sio wewe pekeyako. Utafiti mdogo tu unaonesha watumishi wengi hawajapendezwa na mabadiliko hayo
Ujue hyo wizara before yake ilikuwaga umelala flani humusikii Waziri akisimama na watumishi na kutoa muongozo, maana zamani wanasiasa wakuu wa mikoa walikuwa wananyima watumishi likizo bila kufata sheria, Sasa mchengerwa akakemea hyo kitu
 
Ilikuwa imepata mtu hakika nakwambia
 
Jenista huwa ni mweupe sana kichwani aisee, na huyo mganga wake kiboko uwaziri kwake umekuwa permanent employment na ndiyo mzee
 
Tulijua KERO zetu sasa basi,Mara puuuu
 
Jenista huwa ni mweupe sana kichwani aisee, na huyo mganga wake kiboko uwaziri kwake umekuwa permanent employment na ndiyo mzee
Nadhani atakuwa sawa na yule mzee kawekwa ikulu wizara maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…