The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Kina Mbowe wapo Qatar na familia zao,Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Nchi siyo mali ake binafsi, hakuna kiongozi wa CHADEMA ataondoka, kama ana intelijensia kali hivyo mbona hiyo intelijensia imeshindwa kudhibiti mauaji na utekaji? wizi umejaa serikalini lakini ameshindwaKwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Wahalifu wote washughulikiwe kisheria.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Ww uko kwenye keyboard unaweza kuandika anything
But wahusika wameelewa namaanisha nini
Kama unazo kichwani, utajua kabisa kuwa ule ni uwongo. Kama ana huo uhakika mbona aliogopa kutamka hata jina la hicho chama? Hii itakuwa wameanza kutengeneza mazingira ya zile kesi za kutengenezwa kama ugaidi wa Mbowe au Rwakatare.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Samia hajawahi kutoa hotuba mbovu kama ya LeoKwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Sikia , cheo ni dhamana, vyama vipo kwa mjibu wa sheria , ni ujinga mkubwa sana kimbia familia ,au mji wako kisa kimbia kifo ,kutekwa au bambikiwa kesi , Mungu yupo kazini ,Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Sikia , cheo ni dhamana, vyama vipo kwa mjibu wa sheria , ni ujinga mkubwa sana kimbia familia ,au mji wako kisa kimbia kifo ,kutekwa au bambikiwa kesi , Mungu yupo kazini ,
Wengine kama wataishi milele acha wapinzani wafie nchini kwao na hili Mungu hataliluhusu bali upanga mkali Mungu ataushusha juu yao
Tukimbie nchi yetu? Ili Mgeni aendelee kuuza nchi yetu? Sahau mzeeKwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Sidhani kama ni kweli polisi wamempa clip ya chadema wakipanga uhalifu. Yeye sio mjinga kiasi hicho angepewa hiyo clip angemtimua huyo polisi aliyempelekea. Kwni polisi wakipata taarifa ya uhalifu huwa wanaipeleka kwa rais au wanachunguza na hatimaye kupeleka kesi mahakamani?Chura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??
Ndivyo akili yako inavyo kwambia hivyo wakati inapo elemewa na bangi nyingi?Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Chadema si wamoja tena. Inakuwaje vikao vyao vya siri vinadukuliwa??
Sidhani kama ni kweli polisi wamempa clip ya chadema wakipanga uhalifu. Yeye sio mjinga kiasi hicho angepewa hiyo clip angemtimua huyo polisi aliyempelekea. Kwni polisi wakipata taarifa ya uhalifu huwa wanaipeleka kwa rais au wanachunguza na hatimaye kupeleka kesi mahakamani?
Nenda kawatishe wavuta bangi wenzio.Walioelewa wameelewa ww weka kichwa ngumu ukiwa home na family yako
Wenzako familia zao zilishakimbia Tanzania
Akili za kuambiwa changanya na zako
Chenga PrezidaaChura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??