Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani


Si muwakamate? Samiah must go
 
Maandamano yote huwa nashiriki. Tangu operesheni Sangara. Karibu tujumuike.
🤣🤣
Sangara ?!!

Na jana tumeelezwa kuhusu SAMAKI....

Sasa haya kaandamane tena katika operesheni yenu ya NYANGUMI hiyo S 23....mmekua sasa 🤣

Mimi si mwerevu kama wewe wa kutaka kumwondoa rais wa nchi yangu kwa njia mbovu kupitia maandamano na machafuko.....

Andamana mwenyewe mzee wa kukokotoa kutoka kule M 23 na hii ni S 23 🤣
 

Sikiliza hotuba ya Rais ya Jana Kwa makini Sana neno to neno then utanielewa

Kama unasikiliza Ile hotuba umekaa unaangalia mpira uwez kuelewa chochote

Ila kama ulikuwa unataka kuingia barabarani tarehe 23 ukisikiliza Ile hotuba utaelewa mambo mengi Sana
 
Hata maandamano yaliyopita mlisema hivyo, mwisho wa siku mkuu wa Mkoa akahudhuria maandamano mkabaki kuhesabu uwingi wa watu

Wape Moyo waende ili urudi jf kutoa malalamiko
 
Ukisikia mbinu za kizee ndio hizi sasa. Bado unaamini kuna wajinga ww kununua huu utoto wenu? Kwa hii hotuba ya leo ya rais ndio nimejua tunaongozwa na wajinga wa kiasi gani.

Tindo ww ni mwelewa Sana,

I know unaelewa what I mean

So siwez kubishana na wewe because I'm very sure unaelewa vizuri kabisa ninacho kimaanisha hapa

Unadhania kwanini Rais amesema amesikiliza clip ya slaa? Nchimbi?

Fungua code mzee
 

Kidogo umeanza kunielewa sasa
 
Hizo za kubambikia wapinzani ili kufunika huu utekaji na mauaji inaeleweka. Hata aagize nini kifanyike, tayari yeye na serekali wameshafeli pakubwa kwenye imani ya umma. Zama za kutishia na kudanganya umma zilishaisha.

Umma Gani?

Huu umma mnaozungumzia hapa ni huu umma wa JF?
 
Tindo ww ni mwelewa Sana,

I know unaelewa what I mean

So siwez kubishana na wewe because I'm very sure unaelewa vizuri kabisa ninacho kimaanisha hapa

Unadhania kwanini Rais amesema amesikiliza clip ya slaa? Nchimbi?

Fungua code mzee
Rais mzima anaenda hadharani anabeba viclip visivyo na kichwa wala miguu, kisha anasema huo ndio ushahidi! Yaani ni bonge la aibu huku hana majibu ya waliotekwa.
 
Kwann watoroke ushahid si mnao nendeni kawakamateni wako mikochen apo wanaendelea na kikao cha maandamano ya tarehe 23
 
Umma Gani?

Huu umma mnaozungumzia hapa ni huu umma wa JF?
Jf ni sehemu tu ya kuripoti hisia za umma. Au unaamini wasiongia jf ni wajinga hivyo wanaamini huo utopolo alioongea rais?
 
Tangu lini chadema wakaplan vurugu?
Hizo ni poropaganda za ccm ila yana mwisho wake yote haya.
Jiwe mwenyewe na ubabe wake yupo chato sasa hivi chali
 
Tangu lini chadema wakaplan vurugu?
Hizo ni poropaganda za ccm ila yana mwisho wake yote haya.
Jiwe mwenyewe na ubabe wake yupo chato sasa hivi chali

Rais kasema ana taarifa zote za kikao chao cha Arusha
 
Jf ni sehemu tu ya kuripoti hisia za umma. Au unaamini wasiongia jf ni wajinga hivyo wanaamini huo utopolo alioongea rais?

Ngoja uone tarehe 23 si kesho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…