Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

Popoma babako na ukoo wenu wote
 
Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Acha chuki dhidi ya mtu anayejenga hoja za msingi kama hamtaki bwawa la umeme lijengwe basi kalifukieni tujue moja.
 
Mwenye matatizo ni Mkuu wa nchi na niombe radhi kusema hayupo serious. Rais serious asingeweza kumweka Makamba kwenye hiyo wizara nyeti. Ninacho fikiri ni kwamba amemweka wizara hiyo ili either amsaidie kukusanya hela za kampeni 2025 au kulinda maslahi ya " wawekazaji" hasa wakimarekani.
 
Hiyo wizara ni kubwa sana kwa Makamba huyu wizara zinazomfaa ni jinsia na watoto au michezo.
 
Na pia hapo anaiwakilisha kamati na siyo issue yake binafsi.
 
Sawa kabisa mkuu, mi pia sioni kama kuna personal issues hapo.
 
Mambo mengine, hata kama hatumpendi mtu, tufanye argument kuonesha tuna akili timamu. Kukatika kwa umeme - hivi huyo Makamba amekuwa technician au electrical engineer ambaye huwa anaenda kukata umeme?
Mkuu tambua kuwa yeye ndiye mwenye dhamana katika wizara husika so he is responsible! Ulitaka aulizwe nani katika wizara???😳
 
Makamba anabishana na mjumbe wa sukuma gang masalia
 
Huyu kijana anapwaya katika hii wizara. Kwa ujumla hafai kwenye nafasi ya uwaziri
 
kwani maswali aliyouliza kwako unayaona hayana mantiki? Is it a personal issue?
 
Wamarekani wamekua viwavi sana kwenye hiyo sekta ya nishati.

Wanapiga kama hawana akili nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…