Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

Hivi nyingi humu mnaochangia uuzi mnamponda msukuma kwa lipi hasa??nini kibaya alichoongea??mimi nasimama na Msukuma!!!Medadi kalemani ajiandae kurudia kwenye wizara ya nishati nitamteua nikishika hatamu!!
Nadhani hukunielewa. Msukuma kasema ukweli na hakusema vibaya. Ni aibu makamba anavyofanya
 
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
😄
😆😅😂🤣
 
Take my words, huyo ni mtu wa hovyo na muongo. Sina haja kutoa ushahidi hapa. Pia nami siyo kwamba namtetea Makamba ila nasema Musukuma wa hovyo siyo kwa sababu ni Msukuma bali yeye kama yeye Musukuma.
Yawezekana unasema kweli lakini ungetoa baadhi ya mifano michache ya UHOVYO wake ili twende pamoja!
 
Wala usimtete januari aache mipasho ajibu hoja kwa hoj wala hakuna haja ya kulalamika.
 
Kumekuchaaaaaaaaah.
 
Na amewaambia hiyo mitambo isopfanyiwa maintance kelele zake hakuna mtu atakaa!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
wote wanamatatizo,kwa hadhi aliyonayo makamba alitakiwa kuwa na busara na si kujibu kihuni namna hiyo.tatizo hawa vijana wanaopewa madaraka huwa hawana hekima na busara.mama awe makini ktk chaguzi zake.
 
... uzuri wote vigagula; hakuna wa kumtisha mwenzie kwa "njia za asili"; kila wakipimana wanajikuta wote "wameaga". Mwisho wa siku zitabaki kuwa kelele tu zisizo na tija.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu huwa ni washamba na waganga waganga , sasa huwa wanajisahau kama wametumia uganga uganga kufika walipo..Ndumba, utapeli, unafiki, ushamba wa kijinga, wizi mitaani ndio maisha ya baadhi ya watu..

Kuna watu wametoka royal family, wamekuzwa vizuri na kulelewa kwenye mifumo, vichwa vyao vimetulia na hata malezi yanaonekana sio mabaya.. lakini pia watu wengi wa hivi hawana mihemuko zaidi ya utulivu na tafakari.m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…