Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

Bado nakubaliana naye kwamba hamuwezi kumhukumu kwa miezi minne tuu, pia uchakavu wa miundombinu hilo halina ubishi, Jana hapa Mpanda imepiga radi moja tuu umeme umekata zaidi ya masaa 12.
 
Wivu huu, roho mbaya ya kisukuma!
 
Msukuma hana ushahidi wa kitaalamu,hana sifa za kujadiri nishati sijui kama hata alisoma basic Physics fundamentals.
Kibaya zaidi hajui anazungumza nini.
 

Mkuu umemaliza kazi…
 
Inakuwaje Makamba aseme hausiki na jambo linalotokea kwenye wizara yake? is he serious?

Huyu mtu ashukuru anabebwa na jina la baba yake kwenye serikali ya kiongozi asiejielewa.
denooJ hii nchi ni ngumu sana...

Tatizo siyo la January Makamba...

Tatizo ni sera mbovu za serikali ya CCM...

Wote Makamba, Kasheku Msukuma, Rais Samia na CCM kwa ujumla na sera zao [msisitizo na SERA ZAO] ndilo tatizo la nchi hii si katika sekta ya nishati ya umeme tu bali ni katika mambo yote ya nchi hii...

Hakuna wakati nishati ya umeme katika nchi hii imewahi kuwa ya kuaminika yaani reliable & stable tangu uhuru 1961 na tangu wakati wa utawala wa Rais Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli na sasa Samia Suluhu chini ya CCM yao hii hii mpaka kesho...

Tatizo la umeme kutokuwa reliable & stable limekuwepo vilevile na wote hawa kila walipoingia madarakani walijidai kuja na muarobaini wa tatizo la umeme lakini mara zote wamekuwa WAONGO na WANAFIKI tu badala sekta ya umeme imetumika kama uwanja wa kuifilisi na kuhujumu uchumi wa nchi na wananchi kwa ufisadi na ushahidi wa hili uko mwingi sana ili kuthibitisha haya .!

Suluhu ni hii...

Watu waliotengeneza matatizo hawawezi kuwa sehemu ya kutatua matatizo hayo....

They have to go and other people chini ya mfumo mpya kabisa waje warekebishe mambo ili tukwende mbele..!!

Wanaweza kuwa hawahawa kina Makamba na Kasheku. Lakini ni LAZIMA WAZALIWE UPYA wakiwa na roho na mavazi mapya yasiyo na uchafu na uovu ndani take...!
 
Yan mtu akihoji vitu vya maana anaambiwa anataka uwaziri shame alete hoja ajibu kwa hoja
 
Ni wivu tuu wa kina Musukuma.Hivi Musukuma akipewa uwaziro wa Nishati leo umeme utaacha kukatika?
 
Mfano mzuri wa vijana wa hovyo ni wewe, watu wanaongelea hoja nzito wewe unaleta undezi.
Undezi gani sasa wakati ni hoja yenye nguvu.

Mkuu hii nchi ina vijana wa hovyo kweli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakolosa ndi kinanani Wagalatia ama?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaani umechomekea udini lkn nimependa maana umeburudisha pia
 
Issue iko hivi

1: Makamba ni anti - JPM

2: Msukuma ni Pro - JPM

Sasa Msukuma bado haamini kama JPM hayupo nasi, anashangaa January ni Waziri wakati alikuwa JPM hampendi, hili ndio tatizo, Msukuma anaishi in the past, aache ukabila na upuuzi, sbb the guy is naturally arrogant..!!
 
Hawagombani bali wanafanya siasa!

Msukuma ni mfanyabiashara.

Hawa wote ni ccm; na humo ndani ya chama chao kuna makundi makubwa mawili yenye uhasama!! Musukuma ni kundi la marehemu Jiwe a.k.a Sukuma gang na Makamba ni genge na Vasco Dagama a la' Msoga gang!! Hapo Wote wanagombania ulaji tu sio maslahi ya nchi!!!
Sukuma gang maslahi yao zaidi yako kwenye miradi ya Bwawa la Mwalimu Nyerere na SGR na hao wa Msoga maslahi yao yako kwenye miradi ya Gesi na ndio maana Makamba ameikazania sana siku hizi huku akipunguza kasi kwenye bwawa la Nyerere!!!
 
Ukiangalia kwa kina Makamba ndio Ana shida na hapendi kukosolewA kwa matatizo ya wizara yake
 
Makamba hatoshi kafeli pakubwa asitafte huruma kupitia mamlaka ya teuzi kamati inaujuwa vyema huo mradi atoe majibu yanayotosheleza
 
Wewe kweeli fuso.

Umeandika upupu
 
Msukuma hana ushahidi wa kitaalamu,hana sifa za kujadiri nishati sijui kama hata alisoma basic Physics fundamentals.
Kibaya zaidi hajui anazungumza nini.
Kwa hiyo mkuu kwenye kamati alikuwa anafanya nini! Au huyo makamba ni mtaalamu asipoambiwa na watalaam anaowaongoza.msukuma aneeleza vizuri ajibiwe kwa hoja siyo kusema elimu aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…