Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.
Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?
Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.
Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?