Kwamba.....!!
Huyi kigogo nae ni wakupuuzwa tu, aliyoandika hapo ukiyapima unaona kabisa havina uwiano.
Kwahio ww una amin anatoa jichoHuyi kigogo nae ni wakupuuzwa tu, aliyoandika hapo ukiyapima unaona kabisa havina uwiano.
Watanzania sijui tulizaliwa na wivu au uchawi hata sielewi. Yaani pesa ya Godlove, ila watu wanateseka balaaWatanzania tuna roho za kwanini sana sijui nani alituroga.!!
unataka serikali imfuatilie and then what? Utanufaika nini na huo uchunguzi? Serikali ipi kwanza, ya hao majambazi wa ccm
Wachawi bwana ..mtu pesa zake unataka usubirie ili iweje..wabongo ndio mana maskin na wachawi ni wengi kuliko waliofankkiwa..eti tuwe na subra ,,hapo mmekaa mnasubiria anguko lakeNi jambo la Muda tu...
Tuvute Subra...
Utajiri wake umekuja haraka sana na haijulikani kazi, biashara au nn chanzo cha mapato yake.
Narudia tena tuwe na subra na yetu macho
Hoja nyepesi katoa, za vijiweni.Huyi kigogo nae ni wakupuuzwa tu, aliyoandika hapo ukiyapima unaona kabisa havina uwiano.
Kadiri tunavyovuta subira ndivyo jamaa anavyozidi kumake.Ni jambo la Muda tu...
Tuvute Subra...
Utajiri wake umekuja haraka sana na haijulikani kazi, biashara au nn chanzo cha mapato yake.
Narudia tena tuwe na subra na yetu macho
Mashudu.Una bahati umeanzisha huu Uzi na Kuhoji huku na haujafutwa. Wiki iliyoisha nami nilikuja na Uzi kama huu ila ndani ya Sekunde 7 Ukafutwa na Moderators hadi leo najiuliza ulikuwa na tatizo gani. Nakushukuru kwa Kuuanzisha ili nami niyajue mengi ya huyu Mtu ambaye kila nikimuangalia kwa Jicho langu Tukuka la Ndege Tai siuoni huo Utajiri kama ni wake ila nahisi Lugumi yuko nyuma yake kwa Mpango Maalum na Mkakati muafaka wa Utakatishaji Fedha.
Sasa kuchinja ng'ombe 10 nayo ishu.! Watupe izo code bhana
Uongo kabisa, Kigogo nae siku hizi hana jipya mjini, wa kumpuuza tu. LolHuyi kigogo nae ni wakupuuzwa tu, aliyoandika hapo ukiyapima unaona kabisa havina uwiano.