Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
katika maisha mwanaume kupata muda wa kufuatilia mwanaume mwenzio anatoa wapi hela nayo siyo tabia nzuri,ilihali hajataka kusema anatoa wapi achana naye focus na mambo yako. Ukijua then?
Kama hakuna mtu ka report jamaa kufanya utapeli au dhuluma mengine yaache aendelee na maisha haijalishi ni anapata kwa njia mbaya au nzuri,maisha yenyewe hayajanyooka haya.
Kama ni kwa njia mbaya itajulikana huko lakini kusema sjui mamlaka waanze kumchunguza mtu anapataje hela ilihali hawajapata alert ya ubaya wowote nayo inakuwa haijakaa sawa.
Kwenye huu ulimwengu ukiweza tafuta pesa kwa njia unayoiona wewe ni sahihi(ambayo inaweza kuwa mbaya kwa wengine) ukawa na amani,haukamatwi we fanya