Wewe ndio umeshtukia mchezo aliyoicheza yule jamaa,ni mjanja mjanja wa kuongea na propaganda hiyo ikamfanya apate umaarufu.
So kwa sasa umaarufu alionao unamsaidia kupata pesa fulani za kuishi mjini ila sio tajiri kama anavyowaaminisha watu,kwa mfano inasemekana ana magroup yake ya whatsapp kujiunga unalipia laki 1 ili awafundishe watu jinsi ya kutafuta utajiri na kuna mazuzu wengi tu wanalipia na kujiunga ili wafundishwe jinsi ya kuwa tajiri sasa unadhani kwa siku wakilipia watu 5 tu hawezi kuishi mjini na kupata hela ya mafuta ili aendelee kuwatishia watu.
Zile gari za kifahari sio zake zinakuwa ni za kukodi na kuazima kwa matajiri ambao wameficha identity zao.