Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nimesema akifa huyo pimbi wenu kilema mtajua kila kitu kinachomuhusu si anafanya Siri subirini afe marehemu hana Siri mwambieni mapema
Ukianza kufa wewe utamuonaje mbona unaleta hasira za njaa zako mzee hamna mtu aliekusababishia uamasikini humu walaumu wazazi wako 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukianza kufa wewe utamuonaje mbona unaleta hasira za njaa zao mzee hamna mtu aliekusababishia uamasikini humu walaumu wazazi wako 🤣🤣🤣🤣🤣
Tayari kilema mwingine huyu hapa kaingia kwenye mfumo
 
Tayari kilema mwingine huyu hapa kaingia kwenye mfumo
Kuwa kilema kawaida duniani ilimradi pesa iwepo Sasa wewe huna ukilema ila unazidiwa pesa na kilema mpaka unakua na hasira za kike mpaka unaonekana kituko🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuwa kilema kawaida duniani ilimradi pesa iwepo Sasa wewe huna ukilema ila unazidiwa pesa na kilema mpaka unakua na hasira za kike mpaka unaonekana kituko🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe kilema km yule kilema mwenzio kule subiri afe utamjua vizuri
 
Halafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.

Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
 
We utazikwaje
 
Unawaza ushoga tu dogo. Jicho la 3 hajamaanisha ushoga mkuu.

Kijana ni tapeli na hana pesa yoyote anachofanya ni kutafuta trend tu kwani ameona fursa ya kutapeli watu.
Nifahamuvyo huenda kwa watu maarufu na wenye magari makali ambapo huomba apige picha au are kodi na kisha kuweka mtandaoni akisema amenunua. Pia mara nyingi huenda kwenye mahoteli au sehemu zenye ufahari na kurekodi huko ili ajitengeneezee jina na pia kutangaza hizo hoteli.

Wengi wanasema anapesa za ndagu na kafara. Nijuavyo masuala ya Ulimwengu wa Roho jamaa hana influence yoyote ambayo Shetani watampa pesa kiasi hiko. Juyo hana kafara zozote atoazo wala hayupo freemason kwani hana ushawishi kwa watu wowote. Hakuna ufalme wa giza unaotoa pesa kwa mtu asiye maarufu kwani hana influence wala nyota yoyote Pia hana mission yoyote waliyompa.

Kuhusu jicho la 3 yeye ameanzisha group lake telegram na whatsapp ambapo analiita "kufungua jicho la 3" na humu JF kuna mada inayohusu hilo Jicho la tatu. Huko anawapata wajinga kwa kiingilio cha laki 1. Huko.ndio anapata pesa ya kujitangaza zaidi ila ni mtu asiye na mbele wala.nyuma.

Mtu ambaye hana Biashara, kazi wala influence yoyote hawezi kuwa freemason wala hawezi kuwa umuhimu wowote katika ufalme wa giza kwani principle za kiroho zinaanza na "una nini mkononi mwako" kama ambavyo Mungu alimuuliza Mussa "una nini mkononi mwako".
Aaah kumbe, bas sawaa.
 
Huyu dogo ni kisanga...
Hata kama ni za majoka aisee..
Pesa nyingi mnoo
Hakuna joka linalompa mtu pesa bila kuwa na lolote la maana. Joka hutoa pesa kwa mtu mwenye kitu afanyacho. Huna biashara, huna kazi, hujihusishi na kitu chochote kitakakachokuingizia pesa(start up capital) Huna influence yoyote Tanzania wala duniani then hiyo pesa anakupa ya nini?

Yule ni tapeli tu anawatapeli maboya.
 
Weka ushahidi wa mtu alietapeliwa hapa
 
Back
Top Bottom