Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nakubaliana na wewe ,jamaa yupo kwenye project ya "TEETH" ya kuwaaminisha vijana kwamba pesa zipo wafanye kazi ,wapate hasira za kutafuta! Cha kushangaza mtu ni bilionea lakini mwili unazidi kuisha.

Huyo angekuwa siyo mtu wa PROJECT yao angekuwa kashatiwa NYAVUNI asubuhi tu.....muda wote yupo mitandaoni hana kazi inayomuingizia fedha.
Hili hata mi nilishawaza hivi.
 
Halafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.

Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
Hakuna kitu kama hiko. Ni tapeli tu anatafuta vijana wenye tamaa. Hana influence yoyote atakapopewa pesa nyingi na kuzikwa namna hiyo.

Maskini tu.
 
Jiunge kwenye group lake la wasap kiingilio laki moja akufundishe anapataje pesa
 
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.

Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.

Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?

Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.

Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
We umekutwa na nini huyo dogo Hana utajiri wowote hayo ni mambo ya mtandao tu ndugu nawafaham ndugu zake wazazi hawana maisha mazuri dogo anategemea kiki za mtandao ili kula kwahiyo usiwaze sana
 
We umekutwa na nini huyo dogo Hana utajiri wowote hayo ni mambo ya mtandao tu ndugu nawafaham ndugu zake wazazi hawana maisha mazuri dogo anategemea kiki za mtandao ili kula kwahiyo usiwaze sana
Tafuta hela
 
Tanzania hatuna Sheria Kali za financial crimes Ndio maana Jamaa anatamba... Pia sura yake haionekani kama ya mtu mwenye pesa
Kuna watu mabumunda hata hawajui kumsoma mtu mwenye pesa,mtu mwenye pesa ukimuangalia appearance inajieleza hata bila ya kujitangaza uso unakuwa na nuru,mtu awe na pesa halafu mwili wake awe amekakamaa vile,ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom