Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Hakuna cha tajiri hapo

Huyo dogo ni project yenye kazi maalum
Nakubaliana na wewe ,jamaa yupo kwenye project ya "TEETH" ya kuwaaminisha vijana kwamba pesa zipo wafanye kazi ,wapate hasira za kutafuta! Cha kushangaza mtu ni bilionea lakini mwili unazidi kuisha.

Huyo angekuwa siyo mtu wa PROJECT yao angekuwa kashatiwa NYAVUNI asubuhi tu.....muda wote yupo mitandaoni hana kazi inayomuingizia fedha.
 
Kigogo alishafafanua
Aisee unamuamini kigogo wa facebook? Kigogo wa facebook na Dr William wa USA mimi naona machizi tu yaani vilaza ,mtu makini kabisa anajua jamaa ni MAKOPO tu ,hata kuandika hawawezi ,wanachanganya sana L na R...

Aliyooandika kuhusu Chief ni upuuzi tu ,hamna alichoandika cha maana zaidi ya kuokoteza habari za mitandaoni tu ,ingekuwa uchawi unaleta fedha hakuna bodaboda asingeenda kufanya uchawi apate pesa.
 
Huyo jamaa huu ni mwaka wa 4 tangia aanzee hizo mambo za kuongea mtandaoni na Kila siku mnaongea hivyo hivyo masikini njaa imefikia mpaka kwenye akili mmekua empty Kwa wivu🤣🤣🤣
Kama wewe unahitaji kuwa chawa wake nenda kajiunge naye ila siku mambo yakibuma mnaingizwa wote kwenye kikaango kimoja
 
Unaamini Hana pesa we ni mke wake mzee mbona masikini mnawivu sana namaisha ya watu tafuteni pesa zenu sio kukaa kujadili pesa za watu
Wewe ndio nikuulize akaunti zake zenye pesa umeziona?wewe unalala naye hadi akuoneshe pesa zake?
 
Weka ushahidi wa mtu alietapeliwa hapa
Basi mkuu umeshinda ila nilikuwa naomba nijifunze mkuu. Jamaa anajishughulisha na shughuli gani inayompa kipato ili sisi maskini tusiotafuta pesa tujifunze mkuu? Pia usitukane basi.
 
Wewe ndio nikuulize akaunti zake zenye pesa umeziona?wewe unalala naye hadi akuoneshe pesa zake?
Mimi naona maisha yake anayoishi na anavyosaidia masikini haya wewe unayesema Hana pesa kwamba we ni mke wake unapinga anayofanya sio Kweli
 
Basi mkuu umeshinda ila nilikuwa naomba nijifunze mkuu. Jamaa anajishughulisha na shughuli gani inayompa kipato ili sisi maskini tusiotafuta pesa tujifunze mkuu? Pia usitukane basi.
Shughuli yake uijue Yanini pambana na Hali Yako duniani umekuja kuchunguza shughuli za watu maana dunia inawatu zaidi ya bil5 Kila mtu ukitaka kujua shughuli yake utakua timamu kweli kichwani
 
Uyo mwamba, niliwah kuongea nae,akaniambia nituma laki moja, ili kujiunga, nikamwambia nilete ulipo, akanikatalia, akasema nimtumie then atakuja nilipo, kuniletea pesa nianze biashara, ndio nitakapoanza kupiga pesa, 😭😭😭
 
Mbona unaumia sana mzee?Kwani wewe ni mama watoto wake?muache ajitetee mwenyewe sio wewe kujitia kimbelembele kwani anakujua?
Ajitetee Kwa fukara kama wewe ambae hamna alichokuchukulia ila Kwa chuki zako tu za umasikini ndio ajitetee
 
Mimi naona maisha yake anayoishi na anavyosaidia masikini haya wewe unayesema Hana pesa kwamba we ni mke wake unapinga anayofanya sio Kweli
Kusaidia watu ni maamuzi tu ya mtu haihalalishi kuwa ndio amekuwa tajiri,hata wewe mchumba wa chief ukiamua hela anazokuonga unaweza kwenda kutoa misaada pia
 
Kama wewe unahitaji kuwa chawa wake nenda kajiunge naye ila siku mambo yakibuma mnaingizwa wote kwenye kikaango kimoja
Njaa inakusumbua ndio maana unaichukia waliokuzidi na hii inaonesha kwamba masikini mnaroho mbaya sana
 
Kuna yule mother muuza Chakula alikua anawasema watu kule Insta kaenda kuingia kwenye 18 kanasa Uarabuni huko kafunga kete kibao kwenye Wigi
Usiamini sana vi-clip vya mitandaoni...Open Kitchen inawezekana akawa anauza mchicha nje kweli maana ukipata connection ya kupeleka vyakula natural nje unapiga pesa fresh tu....Pia wazazi wake walimuachia pesa za "ULISI".

Habari za Upendo Open Kitchen Kukawamatwa ni Uongo ile Clip ni ya zamani sana na si yeye.
 
Watu wakipigwa na maisha jumlisha na wivu huwa wanakurupuka sana
 
Watanzania tuna roho za kwanini sana sijui nani alituroga.!!

unataka serikali imfuatilie and then what? Utanufaika nini na huo uchunguzi? Serikali ipi kwanza, ya hao majambazi wa ccm au ipi?

Man up.!!
Kwann asifatiliwe, kama anauza Figo za watu je?
 
Back
Top Bottom