Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Hakuna kitu kama hicho.
Tunaambiwa Kila siku wakinga ni wachawi Sana ndiyo maana wanafanikiwa.
Mimi naona juhudi zinawafanya wafanikiwe.
Mtu karibia Kila wiki au siku kadhaa anaenda china kufuata bidhaa, huyu mtu lazima afanikkwe, biashara inatoka.
Bwashee it was just a joke, no such thing as masharti, kazi tuu
 
Time will tell, mnaotaka kujua vyanzo vya utajiri wa Godlove kuweni tu na subira ukweli mtaujua ila sijui utawasaidia nini
 
Nahs atakua mkulima wa mpunga mbeya kama akina masanja mkandamizaji wanaolima mahekari ya mpunga.
Kuna kipindi aligawa mchele tani za kutosha. Huenda alikua anatoa fungu la kumi kama sadaka.
 
Yule ni Tapeli Kama Wale Jamaa wa Tuma Pesa Kwa Namba Hii,
Tofauti ni kwamba amekuja kivingine.

Mwanzo alianza na kuweka vibao kwenye kibunda cha pesa,,ili kuwalaghai watu kwamba ana pesa nyingi.
Vijana walipojaa kwenye mfumo sasa anawapiga kwa kulipa kiingilio cha kujiunga na freemason jicho la tatu.
1-kujiunga kwenye chama cha jicho la tatu ni laki 2 za Tanzania.
2-ukitaka kumwona ili akupe mbinu za kupata pesa utalipa $1000 kwa kikao kimoja.
Hii ni kwa Africa nzima kwa yeyote akitaka kujiunga au kumwona gharama ni hizo.

Watu wanapigwa na kutapeliwa ila serikali ipo kimya..
Watu kama hawa ni kukamata na kuwahoji.
 
Wajinga wengi sana mkuu

Ova
 
Tusidanganyane hapa, yaan Mk ndo umpe hizo pesa na maisha ya kufuru? Kwa basha gani? Hata hao wageni hawahongi hivyo.

Huyu kuna njia ingine anayopatia pesa hizo, ila sio kukunja 7, iko siku ukweli utajulikana tu.
Mashoga wengi hutoa bure tu ..wakitreatiwa kama demu utakula jicho balaa
 
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.

Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.

Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?

Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.

Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Ila wabongo bana..kwa nini serikali imfuatilie? Amefanya kosa gani? Hata kama humpendi kwa tabia zake, ndo sababu ya kumtakia mabaya kwamba achunguzwe? Na hii hii Polisi yetu ambayo kazi yake ni kupokea order bila kujali ni kulinda au kuua?
 
Huyu Jamaa yenu pamoja na kujitapa ana pesa namuona kadri siku zinavyoenda anazidi kuchongoka anakuwa kama Fidodido ,midomo imekauka ,mikono mikavu utafikiri ananawia maji yenye cement,mashavu utafikiri ananyonya ndimu na makovu kovu ya chunusi kibao usoni.
 
Back
Top Bottom