Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
- #21
kila mtu anatafuta pesa ila kuna mali ukizimiliki katika umri fulani hata serikali huwa inaanza kukutilia shaka.Tutafuteni ela tu.
kila mtu anatafuta pesa ila kuna mali ukizimiliki katika umri fulani hata serikali huwa inaanza kukutilia shaka.Tutafuteni ela tu.
ana miaka 29...10 yrs ago bado alikuwa kwao ipinda,mbeya vijijini. Hiyo Bitcoins kaijulia wapiKipindi anamine Pi coin si mlikua nnacheka.
Na anatoa kafara mooo tu achinji mtu ni moookwamba dogo ana pesa za ndagu?
Umeulizwa?Me nasali T.A.G
anavyodai mwenyewe hajafika miaka 30Kwaiyo mkuu unavyumuona huyo jamaa kweli yupo chini ya miaka30,?? Na huo utajiri anaojisifia unaona ni wa halali kabisa.
Jipe muda
Chini ya Miaka 30 hata mimi nimeshangaaKwaiyo mkuu unavyumuona huyo jamaa kweli yupo chini ya miaka30,?? Na huo utajiri anaojisifia unaona ni wa halali kabisa.
Jipe muda
Utofauti ukowap bossKuna tofauti ya tajiri na boss.
Alisemaje?Kigogo alishafafanua
Una bahati umeanzisha huu Uzi na Kuhoji huku na haujafutwa. Wiki iliyoisha nami nilikuja na Uzi kama huu ila ndani ya Sekunde 7 Ukafutwa na Moderators hadi leo najiuliza ulikuwa na tatizo gani. Nakushukuru kwa Kuuanzisha ili nami niyajue mengi ya huyu Mtu ambaye kila nikimuangalia kwa Jicho langu Tukuka la Ndege Tai siuoni huo Utajiri kama ni wake ila nahisi Lugumi yuko nyuma yake kwa Mpango Maalum na Mkakati muafaka wa Utakatishaji Fedha.Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.
Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?
Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.
Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Kwamba.....!!Kigogo alishafafanua
Tajiri haongei hadharani yeye ni vitendo tu ila boss lazima aongee mtajuaje sasa kama ana mali?Utofauti ukowap boss
10yrs ago alikuwa na miaka 19. Miaka 19 ni kijana anayejitambua kabisa.ana miaka 29...10 yrs ago bado alikuwa kwao ipinda,mbeya vijijini. Hiyo Bitcoins kaijulia wapi
Tusidanganyane hapa, yaan Mk ndo umpe hizo pesa na maisha ya kufuru? Kwa basha gani? Hata hao wageni hawahongi hivyo.Ila mwenyewe nilisikiaga anapata pesa kwa jicho la tatu. Sielewi anatoaga jicho lipi hasa 🤷!