Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

1743523559286.png


1743523660607.png


Madalali watawaokota watu sana maana chief kashazipa Promo hizo gari ,so akija ng'ombe kutoka mkoani akitaka gari kama ya chief anaweza kupigwa hata 250m.

1743523999060.png



1743524121938.png
 
HIVI MNAMKUMBUKA YULE MKURUGENZI WA GAZETI FULANI KIPINDI CHA AWAMU YA TANO...ALIYETAJA WATU HATARI KWA SERIKALI HIYO...SASA HIVI MNAMSIKIA...? KAZI YAKE ITAKUWA NDIO HIYO...
 
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.

Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.

Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?

Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.

Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Acha wivu tafuta hela, hivi akifuatiliwa wewe unafaidikaje?
Roho za chuki na husda ndiyo zilizokufanya kuwa katika hali yako hiyo.
 
kwa uzoefu wangu wakuishi iringa,njombe,mbeya na kuwaona watu waliotajilika kwa ndangu walivyo uyo dogo hana pesa ya ndangu mwazo nilikua nahisi ana ndangu ya kuku ile maana ina hela balaa lakini ndangu ya kuku kadri mda unayozidi kwenda amani huwa inapotea kabisa asingekua anajiachia vile kfupi hana hela ya ndangu kabisa maana hela ya ndangu haitaki mdomo mchafu na haiwezi kukfanya ukajiachia vile
Aiseee!! ... wacha bwana...
 
Halafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.

Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
Kwaio unasubir afe ili ufurahi
 
Kila mtu kwenye maisha ana code ambazo ni top secret,huwezi kujua anapataje pesa

Sio kweli. Kuna sehemu lazima iwepo ambayo inakupatia pesa.

Hata dawa za kulevya ni biashara ingawa haramu na wengi huwa hawasemi wanauza ngada
 
Kuwa tajiri ropo ropo, meno ya njano na ngozi iliyofubaa kama unaogea maji ya chumvi nayo kipaji hongera mtoto mdogo mwenye pesa tele tele
 
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.

Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.

Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?

Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.

Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
👉👉👉 Kama anapata Hela Kwa njia ambayo sio tishio Kwa jamiii Sioni kosa lake........ tatzo binadam tumejazwa roho za HILA na CHUKI Ndo maana wengi tunachukia maendeleo ya wengn Ile Hali hatuna mchango wowote kweny harakati zake....... CHIEF GODLOV yuko sahihi KUTUMIA Hela yake anavyotaka yy
 
Mnawajua matajiri nyieeee 😄

Mtu kila siku yuko mitandaoni
Mara kwenye birian mara sjui wapi upuz mtupu
Mru mnasema ana hela na mpaka sasa biashara yake haijulikani 😄 zaidi ya kuwachangisha wpmbv waliyojaa nchini watoe hela awaingize kwenye kikundi

Ova
 
Serikali haiwezi kumfatatilia sababu ni mchawi unadhani serikali ikichukuliwa msukure itakuwaje?
 
Back
Top Bottom