Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

Tatizo mafundi bora wa kujenga hizo nyumba hawapo
 
Depends na distance but from 60,000 to 100,000 around Arusha town.
Siyo mbaya sana, lorry la mawe linajenga pakubwa. Hiyo ni pesa ya blocks 60 hadi 100. Gharama zinaendana, ukizingatia mawe hupigi lipu wala rangi.
 
Hapa Rorya kuna secondary imejengwa Kwa mawe tuu inaitwa Waningo sec school. Nasikia na fundi aliyenga bado yupo hai mpaka Leo hii yupo Musoma na bado anajenga nyumba za dizaini hii
Mkuu unaweza niunganisha na huyu fundi?
 
Ukikamilisha kujenga nyumba unakuwa umebakiza miaka 30-45 ya kuufa.sasa unajengaje njumba ya kukaa miaka 500 wakati utaishi humo kwa miaka 30-45.Jenga nyumba ya wastani ili ubakize hela za kutumia
 
Uhimara wake unapatika kwa ubora wa mjengaji. Hizi zikikosewa katika kuyaunganisha mawe zinaweka ufa mwingi tu na ubaya wa mawe ikitokea ufa mkubwa ni rahisi sana yakalazimisha kuporomoka kutokana ya kuwa jiwe haliwi na kitako nyoofu.
Anakoseaje sasa huko kuunganisha mawe unakosema,kwani mawe yanaunganishwa na nini,
 
Huwa natamani niwe na nyumba ya ivyo Mana hizi za blocks sio za kukaa hata 500yrs old.
Napenda niwe na nyumba ambayo hata kizazi Cha kumi kitaikuta na history iwepo
Miaka 5 mpaka 10 block zinaanza kupukutika,zina expire hizo,kama uko serious nambie nikutonye ziliko tofari za mawe ambazo haziliki na magadi wala chumvi milele na hauhitaji hata plaster
 
Kamen Kraft Company wako Arusha wana zalisha wall cladding tiles za mawe pamoja na featured paving na fencing systems.

For more details tuma message ama piga simu on whatsapp +255 786 814 111

Instagram: @kamenkraft
Facebook: Kamen Kraft

















































 
Tatizo mafundi bora wa kujenga hizo nyumba hawapo
Ukiamua kwa dhati mafundi wanapatikana. Na kuhusu gharama ni suala la kujipanga maadam umeamua kwa dhati kabisa kuwa na nyumba ambayo pamoja na kuishi pia utaiacha kama alama ya muda mrefu kuwa uliwahi kuwepo duniani mara utakapokuwa umehama sayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…