Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,055
- 1,341
Makanisa na nyumba za wazungu kwa iringa yapo mengi Sana. Nakumbuka huko vijijini nilimkuta fundi anajenga kanisa, nikarudi mwaka juzi nilikuta limekamilika. Ni zuri mno.Nyumba za mawe ni nzuri ila ni gharama sana yaan unahitaji expert wa kufanya hiyo kazi (Fundi), pia huhitaji plaster wala rangi ukijenga umemaliza,
Maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa urahisi kama Dodoma, Mwanza au Iringa kutakua na uafadhali katika ujenzi, ukijenga Dar jiwe unalitoa Lugoba utajua hujui