Nini faida ya kumiliki gari?

Nini faida ya kumiliki gari?

Baadhi ya nchi afrika kumiliki gari ni anasa au utajiri ila, nasema ila ukiweza kununua gari nunua inakupa nafasi ya kukimbizana na shilingi.

Wakoloni a.k.a mabeberu wao usafiri ni sehemu ya maisha siyo anasa.

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je, naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Na hio laki mbili ni kwa hizi gari zetu dizaini za vitz,passo,ist,starlet etc

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Hii link itatoa majibu JamiiForums › pag...
Web results
Kwa dunia ya sasa, Gari ni moja ya hitaji muhimu sana kwa binadamu ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Ukiwa na gari unakuwa na uhakika wa siti, una uhakika wakifika sehemu yotote kwa muda husika, gari zipo za bei rahisi hata 4milion unapata ndinga unavimba barabarani, ukitaka mtoto ukitimba na ndinga kumpata ni rahisi kuliko kwenda na daladala sio kila siku ni kununua spea ndinga hairabiki kila siku.

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo? Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence). Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Hakuna uhusiano.
 
Gari ni liability kama matumizi yake hayatakunufaisha kiuchumi. You will take money from your account kununua spear na mafuta always...ila kama utalitumia kubeba abiria au transportation service liability inapungua maana litajiendesha lenyewe huku likikuachia faida kwenye account yako.
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
FFaida ni nyingi kama umeshatimiza mahita matatu ya binadamu - nyumba, mavazi na chakula
 
Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?..
Kwahiyo 5m unapata na hadi bima inatosheleza kukata. Nakushauri utafute Starlet ndio gari bora zaidi kati ya hizo ulizo zitaja
 
Mlolongo
Kijana wangu kuagiza gari kwa 5mil ni bora ufungue genge na ununue boxer ikusaidie kwenda kuchukulia bidhaa za genge lako, hapo utapata faida.

Vinginevyo kwa aina ya gari unayotaka hapa hapa bongoland utapata iliyotumika kwa hayo madafu yako, nakushauri usinunue gari kwa anili ya kuendea chuo na kurudu, ila nunua gari kwa ajili ya kuikimbiza shekeli.
 
Yeah unaweza kupata, vitz nzuri tu , au hata Swift, siku hizi mambo ya ushuru wa gari kwa kila mwaka walitoa, gari haliaribiki kila siku na sio jinai kuliacha nyumbani kama huna pesa ya wese.

Passo usinunue ya mkononi ila ukiongeza kidogo unaweza kupata Honda Fit ya kuagiza, vile vigari ni vizuri sana.
 
Kwahiyo 5m unapata na hadi bima inatosheleza kukata. Nakushauri utafute Starlet ndio gari bora zaidi kati ya hizo ulizo zitaja

Mzee wangu hivi bima ya gari kama vitz/passo huwa inacheza kwenye bei gani
inazidi million? Unalipia kila baada ya muda gani?
 
Pale unapotoka kazini saa 10 mpaka saa 3 usiku bado ramani ya nyumbani haisomi ndipo pale dharau za kijinga za kuita ist baby Walker zitakapoanza kukuisha.
IMG-20200710-WA0005.jpeg

Pale unapotoka ofisini full ac kwenye v8 na kunasa kwenye foleni masaa manne, mpaka unataka kufungua madirisha angali mvua inanyesha ndipo hapo utakubali na mwenye ist anagari 😂😂😂🤣🤣😂😂😂
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.

Kumiliki gari siyo anasa.

Unaweza kuwa unaishi kwenye nyumba yako ukaugua saa 8 za usiku na hospitali iko mbali na hauna gari wala jirani mwenye gari. Utakufa utaiacha nyumba yako. Easy.
 
Ilinichukua miezi sita tu kuagiza ndinga Japan nilipopata kazi yangu ya kwanza. Nani anataka kufika job huku nimelowa Kama sio mvua basi jasho. Aisee ndinga ilikuwa ni priority.
Vipi familia uliotokea hakukua na gari?
 
Pale unapotoka kazini saa 10 mpaka saa 3 usiku bado ramani ya nyumbani haisomi ndipo pale dharau za kijinga za kuita ist baby Walker zitakapoanza kukuisha.
View attachment 1503181
Pale unapotoka ofisini full ac kwenye v8 na kunasa kwenye foleni masaa manne, mpaka unataka kufungua madirisha angali mvua inanyesha ndipo hapo utakubali na mwenye ist anagari 😂😂😂🤣🤣😂😂😂
Hapo suruhisho ni piki piki sasa kwa mtazamo wangu
 
Mshua hakuwahi kumiliki gari, labda wajomba zangu tu ila sikuwahi kujivunia magari ya wajomba.
Nilihisi hivyo maana comment yako ilionesha ulikamia sana kua na gari..ila fresh...mkuu
 
Back
Top Bottom