Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?


Kifo cha Luteni Jenerali was an inside Job following his misbehaving ambayo kwa level yake hakupaswa kubehave as such.
 
Kifo cha Luteni Jenerali was an inside Job following his misbehaving ambayo kwa level yake hakupaswa kubehave as such.

How he misbehaved ?

Mnaosema alikuwa anampa siri za nchi Mrema basi tambueni kuwa Mrema ni jasusi wa Usalama wa taifa na hili Mrema huwa anakiri waziwazi na Mrema ameshashika nafasi kadhaa katika Idara ya Usalama wa taifa ikiwemo ukufunzi wa idara hiyo na nafasi kama RSO
 

Nimesema ali misbehaving

Suala la Augustino ni suala la pili ambalo mimi sijalizungumzia.
 

Kwa hio Kombe na ujasusi wake wote hakuwahi kujua Mrema ameshawahi mpk kua RSO?
 
Kwa hio Kombe na ujasusi wake wote hakuwahi kujua Mrema ameshawahi mpk kua RSO?

Kuna dhana potofu ya kwamba eti Kombe alizingua kwa kuwa karibu na Mrema

Kombe alikuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ kabla hajapelekwa kuiongoza TISS , alikuwa anamfahamu fika Mrema kuwa ni jasusi wa TISS

Mimi tu achilia mbali Kombe, Mrema hata asingekiri mwenyewe kuwa ni Operative wa TISS na hata asingekuwa RSO nilikuwa binafsi naweza kumtambua kuwa ni TISS kwa nafasi alizoshika nyinginezo wakati akiwa CCM
 

Nakubali mkuu,kutakua na sababu nyingine ya Kombe kumalizwa na sio hio ya inshu zake na Mrema.
 
Kanali shija ni nani huyo mkuu?
 
kazi ingine ya security organs ni kudistort information, umeingiza migomba kutokea wapi, aisee!
 
Kuna binti yake alikuwa pisi kali kweli miaka ya 2009 na 2010 sijui yuko wapi Salhga Kombe
 
Yaani kiukweli ukikaa na kuangalia ni kama hii kitu ilipangwa muda sana, yani mtiririko wa matukio yote ni kama yalipangwa kitendo cha yeye kutokuwa na walinzi ndo kilichokuwa kinasubuliwa ko hata hyo gari inayosemekana iliibiwa dar ulikuwa ni mkakati wa idara
 
Hivi ndani ya idara Kuna idara inayoweza kupanga njama dhidi ya bosi (dgi) wao au sponsor kwa manufaa ya nchi bila dgi na sponsor kujua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…