Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Ushawahi kusikia watu wanaitwa double agents?
Hii wanayo sana USA. Wakienda kuwafanyia Training, miongoni mwenu wanageuzwa kuwa Double agents, yaani you work for them, and you work for your country. Kama deep state haipo makini inakuwa na watendaji hawa bila kujua.