Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Unatopoka tu. Unafikiri ttillion 4. 3 mchezoHayo Mambo Ni Magumu Hasa Unapotafutwa Ukweli Hata Kama Unajulikana Wazi
Unajua Kuhusu Sakata La Ambassador General Abrahaman Shimbo Na 4.3 Trillions Akiwa Civil Servant Na Liliishaje?
Wakaja kuachiwa huruDuuh wauaji walihukumiwa kifo????
Alishastaafu na alikuwa anaishi maisha ya kawaida na kutembea bila ulinzi. Watu hupenda kuongeza chumvi kwenye mambo yanayopata wakubwa lakini mimi nina uhakika aliuawa kwa uzembe wa polisi.Mkurugenzi mkuu tiss auawe bahati mbaya na polisi!?..Kuna kitu kimejificha hapo,huo ulinwengu huwa hatari sana
Kwani kauawa muda gani baada ya kustaafu!?..mwizi kajisalimisha,kwa nini apigwe risasi?!..Alishastaafu na alikuwa anaishi maisha ya kawaida na kutembea bila ulinzi. Watu hupenda kuongeza chumvi kwenye mambo yanayopata wakubwa lakini mimi nina uhakika aliuawa kwa uzembe wa polisi.
Imran Kombe aliwahi kuwa IGP wa nchi na mwaka gani? Kama ni hili jeshi la Sirro hakuna kitu kama hicho utakuwa umechanganya madesa wewe! Utakuwa hawajui ma-IGP wa Tanzania.Pia aliwahi kuwa IGP!!
Kwakwel am soo moved with heroic deeds za JWTZ..Nawapenda sana hawa watu na pale naposikia wamepeea kisago huko DRC huwa inaniuma rohoni...Machi 11, 1979 ndiyo siku ambayo majeshi ya Tanzania yalitoa kipigo kikali kwa majeshi ya Uganda, Libya, na Wapalestina, ktk eneo linaloitwa Lukaya.
..Wadadisi na wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanasema vita vya Tanzania dhidi ya Uganda iliamuliwa Lukaya. Kama Amini angeshinda ktk mapigano ya Lukaya basi angeweza kuyarudisha majeshi ya Tanzania mpaka Kagera na kushinda vita ile.
..Lakini hali ilikuwa tofauti, majeshi ya Tanzania, haswa Brigedi ya 201 iliyokuwa ikiongozwa na Brigadier Imran Hussein Kombe yaliweza kuyasambaratisha majeshi ya Amin na washirika wake na hivyo kufanya njia ya ushindi wa Tanzania kuwa nyeupe.
Walinda aman hawaruhusiw kushambulia jukumu lao ni kulinda tu na ndio maana sheria hiyo inalalamikiwa mnoKwakwel am soo moved with heroic deeds za JWTZ..Nawapenda sana hawa watu na pale naposikia wamepeea kisago huko DRC huwa inaniuma rohoni.
Alitaka kuthibitisha nini?R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Lt Gen Imran Kombe HAKUWAHI kuwa IGPPia aliwahi kuwa IGP!! Yaani uwe IGP then mkurugenzi wa TISS ndani ya miaka isiyozidi 20 polisi wasikutambue..Hapana huo ni uongo naungana na ww
Nimechanganya madesa upo sahihi alikuwa LT gen na sio IGPLt Gen Imran Kombe HAKUWAHI kuwa IGP
Unatopoka tu. Unafikiri ttillion 4. 3 mchezo