Kama hiyo ndiyo sababu kwa nini serikali ilipiga marufuku mikanda(videotape) zilizochukua uhalisiya wa hilo tukio? Na vitabu vilevile vilipigwa marufuku kuuzwa.Viashiria vya ugaidi misikutini ikiwa bi pamoja na mafunzo ya karate na siraha kama visu so selikal ikaona izuie haya hasa misikitini na ndio sababu wahanga wa kubwa walikuwa mashehe
Nazungumzia leo mkuu.Mbona akina Simba Ulanga wamemtukana sana Mtume kwny mihadhara yao hapa mjini?, labda ulikuwa Hujazaliwa au ulikuwa mdogo kuelewa mambo
Kipuyo,Bila shaka mhalifu alikuwa anatafuta huruma ya magaidi wenzake
Tatizo watu hawataki kujua ukweli wa mambo,ukweli ni kuwa waislam wanapakaziwa mambo mengi ya uongo,mtu anakwambia kuna rumours wakati kuna kitabu kinaelezea kila kitu,hata sheikh ponda aliitwa gaidi kwa kusema ukweli,masheikh wa uamsho wanaonewa bila sababu ukiuliza wanasema ugaidi,kuna chuki dhidi ya waislam kubwa sana
Sasa yale mauwaji yalisababishwa na nini kwamba ni kipi kilichopelekea ikalazimika kutumika nguvu ya kiasi kile kilicholeta mauwaji?Viashiria vya ugaidi misikutini ikiwa bi pamoja na mafunzo ya karate na siraha kama visu so selikal ikaona izuie haya hasa misikitini na ndio sababu wahanga wa kubwa walikuwa mashehe
Walokamatwa walikuwa waislam, but ili kutohusisha uislam na vurugu zile, waliokamatwa walijitambulisha kama wakristo. Ni mbinu iliyopangwa kabla ya maandamano.
kulikuwa na uji kwenye kifungashio cha chupa ya njanoYeboyebo hazikuwepo bhna kipindi hiko
Watoto hawawezi kusoma nyuzi kama hiziHapa ndo watoto wanapojitenga na post hii huwez kukuta comment ya walioomba mikopo helsb wiki za Jana hapa
Tvt hii habari walikuwa wanaificha sana Ila dtv wakajitoa mhanga kuhabarisha umma CTN kadhalika
Nachokumbuka ni miili ya mashehe wakiwa na kanzu fupi ilichakazwa sana
Darasa Duara,Mkuu,japo nazipinga sana harakati za Aboud Rogo, ila kwa kumfanyia uadilifu nasema kwamba Rogo hana uhusika wowote na vurugu za Mwembechai kwa sababu wakati huo mahubiri yake hayakuwa na ushawishi wowote hapa Tanzania na nadhani hata huko Kenya
Na huyo 'sheikh' wa Mwanza nadhani unamzungumzia Ilunga Hassan Kapungu.Kama ndio huyo,mkuu unaweza kutuambia upi ulikuwa mchango wake katika vurugu zilizopelekea mauaji huko Mwembechai?
mkuu hebu elezea kwa kifupi tu immediate cause kilichopelekea hayo mauaji ya Mwembechai, kuna kitabu cha Njozi kimewekwa nakisoma lakini kimeanzia mbali sana, najua yalianzia mbali ila kwa ajli ya uzi huu immediate cause yake ilikuwa ni niniDarasa Duara,
Tatizo nilionalo hapa ni watu kutokuwa na ujuzi wa somo wanalojadili.
Nimechangia mara tatu kujaribu kueleza haya mambo kama niyajuavyo ili wasiojua wafahamu.
Darasa huijui nafasi ya Sheikh Ilunga katika jamii ya Waislam.
Lakini mambo haya yanataka usome sana si ya kukimbilia kuja hapa kubishana.
Ingia hapo chini:
Hahahahahahahahahahaah Ajuza acha utani wewe na karate wapi na wapi hahahahaahh daaahKama hakuwa askofu basi alikuwa Paroko Lwambano.
Hilo la karate tatizo nini. Binafsi nilikuwa nakwenda kujifundisha karate miaka ya 70s hapo YWCA Dar. Kanisani.
Yawezekana yeye ana kumbukumbu nzuri Sana Ila wewe miaka 4 hujui uliishije dunianiMiaka 4 hukumbuki chochote.Acha kutudanganya.
Aroon,Muislamu kuelezea hili tukio ,lazima atie chumvi nyingi kuvutia upande wake ili ionekane waislamu walionewa.
Na uhakika hicho kitabu asilimia kubwa kinaonesha Waislamu walionewa.
Pole sana kama nitakuwa nimekukwaza mkuu, kipindi tukio linatokea nilikuwa ndani ya ubalozi wa Uingereza.... Bado nilikuwa mdogo....Kaka
Kaka tushajua baba yako alikua waziri hakuna haja ya kurudia mara kwa mara
Hata mimi baba yangu alikua Rais hakuna haja ya kusema sema humu !
Hivi we ukiwa kiongozi wa nchi na una idara ya usalama na jukumu LA kutunza usalama wa RAIA utaweza kuachia video za machafuko au makala zenye viashiria vya kuleta uvunjifu wa amani hapo baadae ?Kama hiyo ndiyo sababu kwa nini serikali ilipiga marufuku mikanda(videotape) zilizochukua uhalisiya wa hilo tukio? Na vitabu vilevile vilipigwa marufuku kuuzwa.
Kwa nini serikali ilifanya hivyo?
Huenda vingechochea vurugu so ili kunusuru ilikuwa lazma selikal ifanye vileKama hiyo ndiyo sababu kwa nini serikali ilipiga marufuku mikanda(videotape) zilizochukua uhalisiya wa hilo tukio? Na vitabu vilevile vilipigwa marufuku kuuzwa.
Kwa nini serikali ilifanya hivyo?
Tayar kuna mambo kweli yaliqmza kwenda kombo.milipuko kadhaa ilitokea ambapo hicho kikundi ni kama ushirika wa hayoSitaki kugusia swala la uamsho mkuu hilo swala lipo mahakamani
Ila nikung'ate sikio tu wale mashekh wa uamsho walikuwa na ajenda Mbaya sana pengine wangeachwa amani ya nchi ingesabaratika tuwapongeze Tiss kwahili
Hapakuwa na mauajiSasa yale mauwaji yalisababishwa na nini kwamba ni kipi kilichopelekea ikalazimika kutumika nguvu ya kiasi kile kilicholeta mauwaji?