Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Kila mtu anauliza address za hao wachina hamtoi...why??
Ndo sababu kuu ya umaskini .weusi tunafichiana nafasi sababu ni 2
1.tunashindana kisiri siri
2.Hatuamini kusaidia mwingine bila kunufaika
3.Mitego ya kita pelikula

Mimi nliwahi kuwa nalewa na jamaa kwenye ki geocery mtaan kwenye story nagundua alisomea degree ya geology na kawahi fanya migodi mikubwa mwanza.
Najamaa yangu anachimba tanzanite ila mtaji mdogo .nlijitoa nkampa jamaa hela ya kuanza maisha merelan nkampeleka jamaa hata namba nkafuta . Saivi naambiwa ananitafuta amekuwa na hela sana ila sijajisumbua kumtafuta maana mm nlimsaidia kama kijana sio nlitaka aje baadae anilipe
 
Wewe unatakiwa ufanye ku-drill 100m upate yale ya chini huko, kama mfuko upo na maji yapo jaribu kuleta surveyor akupe makadirio, andaa 10m.

Nilikuambia uje ndani hukutaka🀣
Maximum ni 13 to 15m na kwa comments za wadau na majirani zangu hapo naona wengi wanasema unaweza ukachimba usipate maji au ukapata ya chumvi

Ndani wapi tena babu
 
Maximum ni 13 to 15m na kwa comments za wadau na majirani zangu hapo naona wengi wanasema unaweza ukachimba usipate maji au ukapata ya chumvi

Ndani wapi tena babu
13m to 15m itakuwa mkoani huko, kwa hapa Dar ukiwa na 10m unachimba hadi 150m mkuu. Kama maji yana chumvi nunua machine ya filter, 7m-10m utakuwa unakunywa maji matam kuliko ya Dawasa.
Gambling itakuwa kuchimba halafu usipate kitu, ila ukiyapata hata yenye chumvi hayana shida.

Otherwise geukia upande wangu, unywe maji ya mvua bila shida, 3m - 5m maximum.

Kwamba hujui nilipokuita eenh!
 
Haki vile sijaona uliponiita hebu niite tena
 
Watu wengi hawajui, kiutalamu ni kwamba...

Gharama inakua kubwa kwa sababu ile valve inavyochimba unaleta complications kwenye biscrims sasa wakati triceymium inaendelea ku run ndipo zile patrid inakua iko absorbed.....
 
Tunaomba sekta ya uchimbaji visima iingiliwe kimwili na serikali Ili kutupunguzia machungu
 
Wazo zuri sana. Wengi wanafanya hivyo. Sema 40 Km cubic ni ziwa kubwa sana la kutumia mamilioni ya watu🀣
 
Bei ya mashine ni kubwa asikudanganye mtu..uendeshaji wa hii biashara ni pasua kichwa..Kuna wataalamu wapo wanaitwa Coreworthy drilling service wapo Moro na George drilling and Investments wako vizuri sana
 
Naomba connection nao plz, Ahsante
 
Njoo nikufanyie survey ya viwango Bora kabisa kwa laki 5...achana na survey za kukadiria kadiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…