#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

Korona ya Mwanzo ni sawa na Ukimwi wa Mwanzo,vilikuwa vibaya sana.

Baada ya Chanjo makali Yamepungua.

Kosa lake kutofuata miongozo ya kisayansa akawaamini waganga wake matokeo yake mnayajua kwake binafsi na Kwa Taifa
Waliopata chanjo mpaka sasa ni wa kutafuta kama unatafuta mchanga kwenye mchele.

Magu alikuwa sahihi sana hata nchi za Ulaya wapo waliofata njia yake ya kupambana na corona.
 
Corona ilisingiziwa tu.
Watu wamekufa kwa mengineyo.

Ukweli hicho kirusi kingekuwa na uwezo waliousema Wazungu, basi hapa Tanzania ingekuwa mfano kwa vifo hapa duniani.
Ila kuna watu ni wajinga na wabishi.eti wazungu ni wazushi kwa hiyo haya mfano internet,magari,madawa na jf ungeziona wapi ?
Unashindana na mtu amekupa unaishi maisha ujawai kufikiria alafu unabisha utazani wewe ndio muundaji.
 
Wataalamu wapi hao ambao wapo kwa miaka 60 sasa na badi hatuendi popote?

Mikataba ya ovyo ovyo kila sekta haikusainiwa na wataalamu?
 
Ila kuna watu ni wajinga na wabishi.eti wazungu ni wazushi kwa hiyo haya mfano internet,magari,madawa na jf ungeziona wapi ?
Unashindana na mtu amekupa unaishi maisha ujawai kufikiria alafu unabisha utazani wewe ndio muundaji.
We ficha UPUMBAVU wako kwa kudhani Wazungu wote wana akili sana kuzidi weusi.
Kuna mambo ambayo hata wao wabaki midomo wazi yamegunduliwa huku kwa weusi.
 
Kosa lake ilikua kukosoa mbinu za kisayansi hicho tu basi. Ilikua wazi kuwa COVID 19 ilikua hatari zaidi kwa wazee au nchi zenye baridi kuliko huku kwetu so Kulikua hakuna haja ya kukejeli efforts za madaktari, mara sijui Barakoa hazifai, mara chanjo zimetumwa kutuua waafrika n.k. nakumbuka Hadi anamkejeli Askofu kuvaa Barakoa eti hamuamini Mungu!!

Kuna wakati Hadi alikataa uwepo wa COVID 19!! Mimi binafsi manusura nimpoteze Mzee wangu aliponea kwenye mtungi wa oxygen alafu nawasha Tv naskia JPM anasema "hakuna COVID 19 hapa Tanzania...." Hapo unategemea waliopoteza ndugu kwa changamoto hiyo watamuelewa?
 
Wataalamu wapi hao ambao wapo kwa miaka 60 sasa na badi hatuendi popote?

Mikataba ya ovyo ovyo kila sekta haikusainiwa na wataalamu?
Tulishaenda leo kuna mtu anaenda peku?Kuna mtu anatembea kwa miguu bila kupanda pikipiki au bajaji?Kuna mtu ana suruali moja au kaptula moja?Barabara zimetapakaa kila mahali,shule zipo kila mahali,hospitali na vituo vya afya usiombe,Tanzania ina miji mingi mikubwa kuliko nchi zinazotuzunguka,mahali popote Tanzania panafikika,Simu hadi vijijini,TV hadi vijijini nk.Wewe unataka nini zaidi cha maana?
 
Kivipi Sasa alikua anatumia pacemaker ya mabeberu huku alituaminisha chanjo zao ni hatari zimetumwa kutuua?
 
Duuuh
Kwani hiyo TZ unayoizungumzia, mipaka yake ni ipi?
 
We ficha UPUMBAVU wako kwa kudhani Wazungu wote wana akili sana kuzidi weusi.
Kuna mambo ambayo hata wao wabaki midomo wazi yamegunduliwa huku kwa weusi.
Ficha wewe ? Kupunguza aibu.basi sema ugonjwa hakuna kama unavojidanganya
 
Lile jembe Acha kabisa. Yule ni mnoma sana
 
Na ndiyo maana haikuremba ikamnyookea sawia
 
Atleast umenena
 
Kosa lake ni kujua ubeberu unaoambatana na mbiu zinazopigwa mara kwa mara na shirika la afya duniani kwamba ni biashara kuliko hali halisi. Mnatiwa hofu ya hatari kuliko ukweli halafu mnauziwa kila takataka kwa bei ya ajabu. Tena bidhaa hizo mara nyingi sivyo mnavyoelezwa ni feki productcs kuwapatia faifa za kutisha kwa ukubwa. Zaidi ya hapo lockdowns za corona bila shaka ilikua mbinu kuharibu uchumi wa nchi nyingi.
And then kuna njama kubwa magufuli aliitambua. Hapa tz kuna watu walishajiandaa eti kusambaza chakula kwenye lockdowns. Niliwahi kuwasikia eti wangejitolea nikacheka kimyakimya.
 
Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na barvicha kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii

USSR
Ndio siasa hiyo
 
Hayat hakupinga Chanjo. Alitaka tupanue wigo la kutumia chanjo ambazo zingeweza kutengenezwa Barani Afrika. Inaeleweka kuwa hata kwa njia ya RNA ambayo imetokana na DNA za Wazungu ambazo tunatofautiana Jenetikali... zingeweza kutuleea madhara....nani asiyejua Watu wengi wana madhara kutokana na chanjo kuliko gonjwa lenyewe...ikiwa na pamoja na wale ambao walikuwa na matatizo ya moyo? alijuwa no one size fits all
Je ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?
Hakika hakupinga, alichosema na kusii Watanzania wafanye ni kutumia mbinu zinazoleweka kisayansi, kama vile, kutumia mivuke kama njia ya kupunguza makali ya virusi katika njia za kupumua i.e pua. Vilevile Alisii watu watengeneze Barakoa zao wenyewe badala ya kutegemea Barakoa zilizotoka nje(kwa madeni) ambazo kwa wakati ule hazikuwa ni za Uhakika kama zinaweza kupunguza makali ya maambukizo. Leo hii sintofahamu zake kuhusu hizo Barakoa zimefanyiwa utafiti na Hayati Raisi alikuwa sawia kukataa hizo barako, hakukataa njia za kitaalamu...hao wanaodai hayo ni wapotoshaji!
Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo .
Hawezi pata tuzo unayodai wewe.

Atapata tuzo kwa maono na maangalizo ya Mbaaali sana.

Hayati alikuwa anona mbali sana. Ila kwa mantiki uliyotumia,hapana.
Kwani hakukataa na wala kupinga ushauri wa wanasayansi wenzake. Period
Hakukataa uwepo wa Uviko Tanzania.


Kiuhalisia, alichokataa kata kata ni kutangaza hali ya hatari kwa jamii ya Mtanzania. Alichokataa was to Declare a National Emergency ambayo ingefungua bahasha kuu Kumwagiwa mikopo yenye masharti magumu, alichokataa ni kuwa, kwa kufungua hiyo mibahasha, madeni ambayo Watanzania tungekuwa nayo, ingetufanya maskini na watumwa kwa makampuni ya madawa kutoka nje. hebu...
Piga hesabu ya fedha kiasi gani nchi kama ya Uingereza imetumia....kuagiza barakoa, na za chanjo kwa wananchi wake! Je tungeweza? kama tungefungua mabahasha yanayoambatana na Declaration of Emergency....?

Niongeze tu, nchi nyingi zilibidi zifanye jitihada za kutengeneza chanjo na barakoa zao wenyewe badala ya kuwa na madeni makubwa kutoka China ambayo ndio ilikuwa, inazalisha Barakoa pamoja na Vipima au vipimio vya Uviko 19.

Je, kiuhalisia leo hii tungeweza kutoa pongezi kwa Rais SSH? tuwe wakweli tungeweza?

Hizi kampeni za kumfanya Hayat Rais kuwa alikosea na hivyo apewe tuzo la kukosea ni dhahiri mna chuki. Ni dhahiri hayo aliyoyakataa ilifinya mirija ya Unyonyaji.


Aluta Continua

....
 
Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
🤣🤣🤣🤣
 
Kama mabeberu ni wabaya why alitumia pacemaker iliyotolewa uingereza?? Yaani kwanini atumie mashine ya mzungu kusukuma damu ilihali chanjo zao hatumii? Kwanini asingeacha kutumia moyo bandia Ili ategemee mitishamba imsaidie?
 
Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na barvicha kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii

USSR
Huyo Mama licha ya kwamba ni mwaba CCM mwenzangu, kiukweli ni White Elephant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…