#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

Aisee.....

Kila kitu kina kanuni zake na wala mambo hayafanyika kwa kucheza pata potea, bali ni kuchunguza na kuangalia jinsi mambo yalivyofanyika hapo kabla kwenye mambo kama hayo na tukapata positive outcome...,

Sasa kutokana na utaalamu wa tasnia ya afya kirusi kikitokea inabidi nini kifanyike... ?

Kumbuka huu ugonjwa ulikuwa ni tofauti, na kila mtu alikuwa busy anachunguza (kwahio kuingiza propaganda na kubeza ni hindrance wala sio suluhisho).... kila wakati linapokuja suala deadly ambalo hatujui impact yake kwa ufasaha cha maana na busara ni kusikiliza wale wanaokesha na ku-study hilo jambo na sio wanaodhani / bahatisha; na haijalishi watu hao wanatokea wapi au wapo wapi so long as wapo kwenye industry husika...
 
Unajua herd immunity ni mini ?

Ni kinga inayopatikana kwa kundi kubwa la watu kutokana na watu wachache kupata chanjo hivyo kuzuia ueneaji wa ugonjwa( transmission). Protection of unvaccinated from vaccinated.
 
Sasa hii kasumba ya Urasimi/Utaalamu, na vitu kama hivyo tuna uzoefu navyo kuligharimu Taifa.
Na mbaya zaidi, Maamuzi ya kukurupuka kwa sababu tu wataalamu wamesema na Taharuki tuna uzoefu nao kutugharimu.

Alichoshinda Magufuli juu ya korona ni kupunguza Panic ambayo hakika ingetugharimu.

Na hiyo ndio mbinu bora ya kwanza unapokumbana na tatizo.
 
Unapunguza panic kwa kuongeza panic kwamba kila kitu kinachokuja kina sumu ? Just imagine leo lije gonjwa lenye madhara kama Ebola unashauri tufanye nini ? Tutumie njia hio hio ya kupunguza panic kwa kubeza wanaofanya utafiti kwa wakati huo ?

Kumbuka kabla ya utafiti no one is wiser hakuna anayejua either uta-exaggerate au utachukulia poa lakini madhara ya kuchukulia poa kama utakuwa umekosea ni makubwa zaidi
 
Kuondoa panic iliyokuwepo juu ya korona ni jambo jingine, na kuongeza panic katika mengineyo ni jambo jingine pia, na si kila mtu anaitafsiri hivyo Bali ni alarming ya kuchukua tahadhari, na sifikiri kama hats wewe hujui haja ya kuchukua tahadhari kwa kila tunacholetewa.

Ebola si janga jipya, namna ya kudeal na taharuki yake haiwezi fanana na Korona.
 
Ktk issue ya corona,

Magu was a PROPHET.

Dunia nzima walisurrender Hadi viongozi wa dini waliyumba.

Aliyewatia moyo kumtegemea Mungu alikuwa Magu.

Asante Mungu Kwa zawadi ya Magu.

Aaamen
 
Mimi sina mtu, unathibitisha ujinga zaidi.
 
Kama mabeberu ni wabaya why alitumia pacemaker iliyotolewa uingereza?? Yaani kwanini atumie mashine ya mzungu kusukuma damu ilihali chanjo zao hatumii? Kwanini asingeacha kutumia moyo bandia Ili ategemee mitishamba imsaidie?
Shida yako hata huelewi ubeberu ni nini. Unakuta mtu kwa kasumba ya kusujudu wazungu ukiwaita westerners mabeberu wanahamaki wanafikiri umewatukana wazungu wake.😂🤣
 
Nakumbuka mwanzoni zile clip alizokuwa akipost Mange za kuhusu covid zilijenga hofu sana.
 
Kosa lake ni kuamua kifo chake kitokane na covid 19
 
Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na BAVICHA kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii

USSR
Mkuu SAMIA usimlaumu sana kwani naye ni mwanamke tu kama wanawake wengine tunaowaona.
Tuwashanga hawa WANAOJIFANANISHA na wanaume akina Zitto,Nape,Lissu na wengineo ambao wanamkosoa JPM jinsi alivyopambana na corona kwa kutumia akili halisi azojaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…