Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Aisee.....Mkuu, kwani Chanjo ya Corona sio Gambling?
Unafuatilia taarifa za chanjo sasa hivi na hofu kwa waliochanja?
Chanjo ndio Kamali ya kipumbavu kuliko karata aliyocheza Magufuli. Halafu pia kufikiri Nyungu ni suala la Imani si Utaalamu ni utumwa tu na kuabudu wazungu.
Kila kitu kina kanuni zake na wala mambo hayafanyika kwa kucheza pata potea, bali ni kuchunguza na kuangalia jinsi mambo yalivyofanyika hapo kabla kwenye mambo kama hayo na tukapata positive outcome...,
Sasa kutokana na utaalamu wa tasnia ya afya kirusi kikitokea inabidi nini kifanyike... ?
Kumbuka huu ugonjwa ulikuwa ni tofauti, na kila mtu alikuwa busy anachunguza (kwahio kuingiza propaganda na kubeza ni hindrance wala sio suluhisho).... kila wakati linapokuja suala deadly ambalo hatujui impact yake kwa ufasaha cha maana na busara ni kusikiliza wale wanaokesha na ku-study hilo jambo na sio wanaodhani / bahatisha; na haijalishi watu hao wanatokea wapi au wapo wapi so long as wapo kwenye industry husika...