Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Wewe ndo umejilimit akili yako kufikiri ndomana wenzetu wanatupiga magap na hatutowapata sababu ya sisi kujilimit akili zetu

Kwa hili wamefanikiwa sana wazungu kututafutia reason ya Ku limit uwezo wetu wa kufikiri

I believe Mungu yupo but its faith and hainifanyi kufunga ubongo wangu kwasababu dini hizi ndo zilikuwa ziki advocate kuwa dunia ni flat ,Mara earth ni centre ya solar system yet science has proven the all wrong
 
Link Stephen Hawking, science's brightest star, dies aged 76
 
Wanasayansi washughulike na mambo haya mawili kama wanataka kuishinda dini:

(1). Wanahitaji maelezo mbadala kuhusu chanzo cha muda, space na matter yenyewe. Ati, Matter, Time and space vilitoka wapi? Kabla ya muda kuanza kulikuwa na nini? Hicho kilicholipuka siku ya Big Bang kilitoka wapi? Maelezo haya eti hapo mwanzo kila kitu kinachounda universe hii ya leo kilikuwa contained kwenye one trillionth of a pinhead and then kaboom ikalipuka na kuumba kila kitu aisee haina mashiko kabisa...


(2). Wakishinde kifo!. Watu wakiacha kufa na wakaanza kuishi milele basi wengi wataikimbia dini kwa sababu dini nyingi zipo ili kuelezea nini kitatokea baada ya kifo. Ukiondoa kifo maana yake hakuna mambo ya kufufuliwa kwenda kuishi milele kwenye magalaxy mengine huko.

Mungu Atubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kwaio unasema kuwa galaxies zilikuwepo kabla ya big bang? Billions od galaxies were already there just waiting for the big bang to happen?

Mimi ninaeamini Mungu ndie alietengeza universe, naamini ameitengeza mthematically. Kuanza elements zilizosababisha huo mripuko mpaka kukawa na galaxies. All these mathematically is possible. Ukiweza kucrack hio hesabu unaweza hata ukaja na your own man made universe. Lakini the point remains the same, YOU WILL BE THE CREATOR!

Unaposema kuwa tupange tofali bilioni moja kisha tufanye mripuko, kuna uwezekano wa kupata tofali zilizojipanga, bado hatujasolve hii ishu, kwa sababa itakuwa UMEzipanga kabla na HAZIJAJIPANGA WENYEWE.

Tunarudi pale pale.

Scientist wanatupa njia za kuelewa how things came to be.

Huo huo mfano wako wa matofali bilioni unatosha kukupa picha kuwa zinatakiwa zipangwe na sio zijipange.

Najaribu kukupa mifano ilokuwepo very simple ili kila mtu aifahamu kwa uwepesi. Huwezi kumuondo the creator of the universe kwenye hili.

Ni yeye ndie aliweka elements zilizofanya big bang. Hazikutokea from nowhere tu.
 
Vigumu sana Ku argue nawewe aisee umesema dunia IPO perfect nimekwambia not perfect at all and that is a known fact

the law of nature always existed
Halafu mkuu, what is the definition of perfect mpaka ukatae kuwa dunia ipo perfect?

For us to livr, wr need to breath in oxygen and exhale CO2, Hii sio sababu ya kusema dunia is perfect for us? We need water, sio sababu ya kuwa perfect? The earth in sevrn layers on top to protect us from the sun rays ili tuishi and yet unasema its not perfect? Hebu twende hapo mwezini, theres no life there, the moon misses all elements of life. Any planet, that can sustsin human life, that is a perfect planet for human to live. Na ikiwa kuna planet moja ina kila itu lakini ia miss one element tu basi hio sio perfect for us to live in.

The universe itself is perfect for our survival and destruction. Sio kwamba we can live on any planet, but our universe cooperate to sustain life on earth. Fikiria if the moon is too close to the earth than normal, nini kitatokea?

Fikiria if in our universe hatuna sunlight?

Huwezi kunambia kuwa dunia yetu ni bahati mbaya.... Hizi vitu, creator amefanya kwa hesabu.

Scientist kila wanachogundua kuhusu universe ni wao wenyewe wanaprove God existence lakink they are blind.
 

Brothrr brother 😀 samahani kama naquote post isonihusu.

Dont say"simply becausr there was nothing before big bang" kwasababu it makes it more complicated rather than simple as you said. The only simple explaination is there is the creator!

Sasa ushasema kulikuwa hamna kitu, sasa big bang imetokea wapi? Zile hydrogen sijui zimetokea wapi? Tufanye experiment kidogo, jifungie chumbani, halafu kaa kitako utizame kuna big bang itatokea ivi ivi. Uje unipe mrejesho.

God, is the one who made the ingredients from nothingness, and then boom, the universe was born.
 
kwahiyo Stephen Hawkins alikua anajua maisha yalipotokea?? ,nothing like that and the Theory is invalid proved by me
 
Hivyo vyuo unavyovizungimzia vimekuwa hivyo tangu kale. Halafu kile kilichosemwa na Hawkings wala sio law, ni theory. Nikufahamishe tu mpaka sasa science haina conclusive evidence ya mambo ya universe, pia kuna mambo mapya yanagundulikabkila siku na kuleta mtazamo mpya. Wajuvi wa mambo wamediriki kusema, science imekuwa kama dini tu, too much theories. So usidanganyike na theory ya huyo ambaye anatia mawazo yake tu kuwa laws of physics zilikuwepo tu bila kutaja chanzo chake, it's the same as religious belief.
 
sijakuelewa mkuu unachongea kabisa science haijawahi sema sokwe alibadilika akawa mtu but najua kuna theory inayo suggest we had the same ancestors so pengine ni uelewa wako tu au wa aliekufundisha mkuu
Hawa ni wale waliokua wanasinzia kwenye kipindi cha biolojia
 
Am an atheist but i see points on your comment. That thing might be there but it does not need to be worshiped. And dont personnallize it kwa kusema YUPO.
 
Kutojua majibu ya maswali yako haimanishi kuwa mungu ndio kafanya, huo ni uvivu wa kupindukia bora hawking alietumia muda na kuja na nadharia zake kuliko wewe unaekimbilia jibu jepesi.
 
Mbn hata africa atheism inakua sn chief hasa Kenya
 
Mkuu Theory ni nadharia tu ukiithibitisha inakuwa kanuni/principles

Kwahiyo subiri mpaka ithibitishwe kwanza.
 
Sikuwahi kupanda ndege hadi siku nilipokwenda Canada, nilipata siti ya dirishani hivyo njia nzima nilikuwa napepesa macho huku na kule ili kumuona Mungu maana ndege yetu ilikuwa juu ya mawingu yote. Nilikuwa naukumbuka wimbo Wa palapanda Italia........ Kumlaki bwana Yesu mawinguni. Lakini sikuona dalili yoyote ya uwepo Wa Jitu kubwa sana kupita vitu vyote, Mungu. Kuna kazi
Wanasayansi watashindana na Mungu ila hawatashinda. Believe me & God
 
At least wewe umeleta argument ya kueleweka
Kuhusu kifo sidhani kama kuna haja ya kukishinda but kwasasa experiment nyingi sana za kuongeza lifespan through genetic engineering

Hio kitu ulichouliza kimetry kuelezewa na watu kadhaa sema jinsi ya kuanza kukidescribe hapa ndoi issue siku nikikaaa vizuri nitaleta all the explained possibilities
 
Nothing existed before the big bang kuwa muelewa basi galaxies themselves ni matokeo ya big bang
 
In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humans
 
Kutojua majibu ya maswali yako haimanishi kuwa mungu ndio kafanya, huo ni uvivu wa kupindukia bora hawking alietumia muda na kuja na nadharia zake kuliko wewe unaekimbilia jibu jepesi.
Kutumia muda wako mwingi kuja na ASSUMPTIONS zako haimaanishi kuwa upo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…