Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 611
- Thread starter
- #101
Wewe ndo umejilimit akili yako kufikiri ndomana wenzetu wanatupiga magap na hatutowapata sababu ya sisi kujilimit akili zetuWatakuja na kila aina ya theory lakini mwisho wataishia kusema Mungu yupo, akili yetu ni limited, na tunachofundishwa na hawa wataalam ni kweli ila ni kwa kiwango kidogo sana.
Hebu fikiria, asilimia 96 ya universe haijulikani ni kitu gani, wameishia kuita black energy na black matter, imagne kwanini wanashindwa hata kuifikia nyota iliyo karibu sana na jua letu ambayo iko 4ly pekee?
Imagine kuwa, vitu vyote vionekanavgo yaani nyota, sayari, vimondo nk ni 4% tu! Hivyo visivyoonekana Mungu pekee anavojua. Sikio haliwezi kuzidi kichwa
Kwa hili wamefanikiwa sana wazungu kututafutia reason ya Ku limit uwezo wetu wa kufikiri
I believe Mungu yupo but its faith and hainifanyi kufunga ubongo wangu kwasababu dini hizi ndo zilikuwa ziki advocate kuwa dunia ni flat ,Mara earth ni centre ya solar system yet science has proven the all wrong