Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Nadhani umesahau kulitokea mapinduzi na muungano.
Kwanza umeuliza swali ni lini ilikuwa Islamic state nimekuonyesha..

Now unasema kuhsu mapinduzi??

Mapinduzi Yanapindua Only serikali Iliyopo Madarakani ila hayapindui fikra na Tamaduni za watu..

Kwa mfano Abubakari Anaweza kwenda kupindua Nchi ya Vatican na kuitawala kama Rais..

Ila shida itakuja kuwafanya Vatican wawe na Desturi na Tamaduni za Kiislamu itachukua Miaka zaidi ya 1000s
 
Answar wanaowahi kumaliza mfungo kabla ya wengine wao huruhusiwa kula hadharani siku hiyo wakimaliza mfungo kabla ya nyie wengine??
Swali zuri wajibu Sababu wengine bado wanakuwa kwenye mfungo je nao wataakamata?

Wakristo wanawahi kufungua pasaka ndio yao ,watafuatiwa kwenye kufungua na waislamu madhehebu ya Answar Sunna na wa Mwisho watakaofungua ni waislamu wa Bakwata.Swali je hayo makundi mawili ya Wakristo na Aswar Sunna yatakayofungua wakati mfungo bado unaeendelea wa Waislamu Bakwata je watakamatwa kwa kula kipindi bado mfungo unaendelea?
 
Zanzibar ni secular state. Ukitaka kubishana theories rudi darasani uandike paper.
 
Zanzibar ni nchi ya kiislam mbona watanganyika hamuelewi?

Kuna rais mkristo amewahi kuwepo Zanzibar kama Tanganyika??
 
Zanzibar ni secular state. Ukitaka kubishana theories rudi darasani uandike paper.
Sawa.lets Go logical

Years Of secularity 59
Years of Islamic and Sultanate state 1000s..

Are you kiddn Me..
Unafikri Kipi kitakuwa na Athari kuliko Kingine The secularity its Not Even close to a Hundred years..

Its Unlogical Mkuu.. Jaribu kutumia Logic kufikiri..

Lets say kwa sasa Mikoa Yote ya wasukuma na Wanyamwezi ivamiwe na wachaga na mikoa ya wachaga ivamiwe na wanyamwezi..

Do you Think Usukuma Uliojengwa kwa Miaka zaidi ya 1000s utaondolewa Just for one generation na Wachagga..

Au Unafikiri Uchaga wataondolewa For just 50 years na Wasukuma..

You gotta be kiddn me..

Au unasahau kwenye Kalenda ya Wazanzibari pia kuna mwaka mpya wa kiislam na wanapumzika
 
Unajua katiba ipo in place kuweka sawa watu wenye logic kama zako. Moja sababu nimekushauri ukandike hii thesis yako darasani.
 
Mtu hakatazwi kula kama sio muislam, nadhani hapo walikosea hao waliowakamata wenzao waliokutwa wanakula..
Nani polisi ndo walikosea kuwakamata??
Bado wanasisitoza watu Wapeleke Taarifa wakiona mtu anakula Mchana wamkamate na wapeleke mahakamani πŸ˜…πŸ˜…
Your browser is not able to display this video.
 
Hao wakilishi wanatumia Vyombo vya usalama vya URT kuzitekeleza hizo sheria URT ikikata sababu inakianzana na Katiba ya URT watafanya nini?
Wana vyombo vyao mkuu zanzibar ni nchi inayojitegemea ina mahakama yake ina Jeshi (Idara maalumu), Ina Bunge Baraza la wawakilishi na ina serkali (SMZ)..

Kifungu cha Nne cha Katiba ya Zanzibar kinasema kuwa sheria yoyote inayokinzana na Katiba ya Zanzibar itakuwa batili zanzibar
 
Kwani pasaka maama yake kula barabarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…