mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Utumwa mamboleo ! 🙏Alietuletea dini Africa naona alituloga kwanza, Dini zimekua chanzo chakutengana na umaskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa mamboleo ! 🙏Alietuletea dini Africa naona alituloga kwanza, Dini zimekua chanzo chakutengana na umaskini
Nadhani umesahau kulitokea mapinduzi na muungano.Zanzibar Ilikuwa Chini ya Sultanite State..
Tangu miaka ya 800s mpaka 1964..
Lakini ilianza official kabisa kuwa Rely kwenye Muslim state ilikuwa ni miaka ya 1800s
View attachment 2947913
Kwanza umeuliza swali ni lini ilikuwa Islamic state nimekuonyesha..Nadhani umesahau kulitokea mapinduzi na muungano.
Swali zuri wajibu Sababu wengine bado wanakuwa kwenye mfungo je nao wataakamata?Answar wanaowahi kumaliza mfungo kabla ya wengine wao huruhusiwa kula hadharani siku hiyo wakimaliza mfungo kabla ya nyie wengine??
Zanzibar ni secular state. Ukitaka kubishana theories rudi darasani uandike paper.Kwanza umeuliza swali ni lini ilikuwa Islamic state nimekuonyesha..
Now unasema kuhsu mapinduzi??
Mapinduzi Yanapindua Only serikali Iliyopo Madarakani ila hayapindui fikra na Tamaduni za watu..
Kwa mfano Abubakari Anaweza kwenda kupindua Nchi ya Vatican na kuitawala kama Rais..
Ila shida itakuja kuwafanya Vatican wawe na Desturi na Tamaduni za Kiislamu itachukua Miaka zaidi ya 1000s
Sawa.lets Go logicalZanzibar ni secular state. Ukitaka kubishana theories rudi darasani uandike paper.
Unajua katiba ipo in place kuweka sawa watu wenye logic kama zako. Moja sababu nimekushauri ukandike hii thesis yako darasani.Sawa.lets Go logical
Years Of secularity 59
Years of Islamic and Sultanate state 1000s..
Are you kiddn Me..
Unafikri Kipi kitakuwa na Athari kuliko Kingine The secularity its Not Even close to a Hundred years..
Its Unlogical Mkuu.. Jaribu kutumia Logic kufikiri..
Lets say kwa sasa Mikoa Yote ya wasukuma na Wanyamwezi ivamiwe na wachaga na mikoa ya wachaga ivamiwe na wanyamwezi..
Do you Think Usukuma Uliojengwa kwa Miaka zaidi ya 1000s utaondolewa Just for one generation na Wachagga..
Au Unafikiri Uchaga wataondolewa For just 50 years na Wasukuma..
You gotta be kiddn me..
Katiba Ipi sasa ya zanzibar au ya Tanzania??Unajua katiba ipo in place kuweka sawa watu wenye logic kama zako. Moja sababu nimekushauri ukandike hii thesis yako darasani.
Hamna taabu nendeni mkabadili katiba mweke kwenye maandishi. Shida iko wapi.Zanzibar ni nchi ya kiislam mbona watanganyika hamuelewi?
Kuna rais mkristo amewahi kuwepo Zanzibar kama Tanganyika??
View attachment 2947915
Tanzania.
Lakini unajua kuwa Katiba ya zanzibar pia ina nguvu kisheria??Tanzania.
Haina nguvu. Muda wowote wenye Jeshi URT wanaweza kuibadilisha.Lakini unajua kuwa Katiba ya zanzibar pia ina nguvu kisheria??
View attachment 2947929View attachment 2947930
Haiwezi kubadilishwa mkuu Kama umeisoma utajua ninachosema ni niniHaina nguvu. Muda wowote wenye Jeshi URT wanaweza kuibadilisha.
Nani polisi ndo walikosea kuwakamata??Mtu hakatazwi kula kama sio muislam, nadhani hapo walikosea hao waliowakamata wenzao waliokutwa wanakula..
Hao wakilishi wanatumia Vyombo vya usalama vya URT kuzitekeleza hizo sheria URT ikikata sababu inakianzana na Katiba ya URT watafanya nini?Haiwezi kubadilishwa mkuu Kama umeisoma utajua ninachosema ni nini
Hii sio sawa, ni kosa, naamini Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakemea hili jamboNani polisi ndo walikosea kuwakamata??
Bado wanasisitoza watu Wapeleke Taarifa wakiona mtu anakula Mchana wamkamate na wapeleke mahakamani 😅😅
View attachment 2947939
Wana vyombo vyao mkuu zanzibar ni nchi inayojitegemea ina mahakama yake ina Jeshi (Idara maalumu), Ina Bunge Baraza la wawakilishi na ina serkali (SMZ)..Hao wakilishi wanatumia Vyombo vya usalama vya URT kuzitekeleza hizo sheria URT ikikata sababu inakianzana na Katiba ya URT watafanya nini?
Kwani pasaka maama yake kula barabarani?Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.