Nini hatma ya miradi ya Chato?

Si alikununua ndio maana ukatoka upinzani, wewe ni mnafiki unajali tumbo lako kuliko maslahi ya Taifa. Unaabudi MTU kuliko Mungu.
 
R.I.P Dkt Magufuli, we are all sailing in the same boat..
 
Angejua hayo angekua na roho nzuri.
Hakujiuliza siku ile kapotea watu walimuombea mabaya?
 
Unamjua Erick Kabendera , hivi yeye hakuwa mtoto wa mtu???

Mama yake aliomba kupitia vyombo vya habari kuwa Raisi amsaidie mtoto wake kwa sababu ndiye tegemeo lake.

Aliziba masikio mwisho mama alifariki na bado Erick hakupata nafasi ya kwenda kumzika mama yake.

Hivyo Karma is bitch ....

Ukilia lia na Mungu wako kwa maana hata wewe haujui utafikia wapi.
 
Kwani hakuyapanga na Rais mteule Samia Suluhu Hassan?
 
Wenawe! Mtoto wa mtu mtoto wa mtu, acha unafiki wako kama umekosa cha kuandika si ulale tu... au wewe mwenzetu mtoto wa fisi!!?
 
Tunaomba Mungu Ampe Pumziko La Amani Rais Wetu Mpendwa

Lakini wakati haya yakiendelea tunaomba Daktari wake ; Katibu Mkuu kiongozi na genge lote la wasaidizi wa karibu wakiohusika hasa kwenye utoaji wa Taarifa wawekwe mahali watueleze ni nini kilikua kinaendelea

Kama Alilazwa Rasmi Tarehe 6/3 pamoja na kuwa kuna taarifa aliugua toka tarehe 3/3 na kabla ya tarehe 10/3 Alikua clinically Dead ; ni jambo Gani liliwafanya hadi kuficha habari za huu ugonjwa hadi kufikia viongozi wakuu kila mmoja anaongea lake ina maana ni kama “walimteka”rais na kudhibiti kila kitu pengine kwa manufaaa yao ; basi ni vema wawekwe mahali waseme vizuri !!!
 
Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.
Inasikitisha sana. Hapa duniani tunapita. Nguvu, mali, madaraka vinatupa kiburi, tunajisahau. Baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha yasiyo na mwisho, na Mungu atamlipa kila mmoja wetu kwa kadiri alivyotenda hapa duniani.
 
Si alikununua ndio maana ukatoka upinzani,wewe ni mnafiki unajali tumbo lako kuliko maslahi ya Taifa. Unaabudi MTU kuliko Mungu.
Unadhani watu wananunuliwa kirahisi kama nguo dukani? Niliacha siasa kwa sababu zangu mwenyewe. Mapenzi ya chama changu yako moyoni sio lazima niseme hapa. Sikuwahi kuwa mwana CCM hadi leo. Kinachoniuma ni kifo cha mtu basi hata angekufa mtu mwingine ningeumia hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…