Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu naona unaanza kuwa mnafiki, angalia uzeeni utakuwa mchawi.Hiyo tuweke pembeni kwanza mkuu. Utu ni muhimu kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona unaanza kuwa mnafiki, angalia uzeeni utakuwa mchawi.Hiyo tuweke pembeni kwanza mkuu. Utu ni muhimu kwa sasa
Si alikununua ndio maana ukatoka upinzani, wewe ni mnafiki unajali tumbo lako kuliko maslahi ya Taifa. Unaabudi MTU kuliko Mungu.Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
Na hizo gharama za life support ni za umma.Mama yake haongei, hajui kinachoendelea mwaka wa 3 sasa yuko kwenye life support.
Huo ni unafiki, ulipanda ndio utakachovuna. Kama uliishi kwa wema ukifa wema wako utasemwa kama ulikuwa Tyrant tutakupa makavu.Unakosea kaka....
MTU akisha kufa hatumsemi tena kwa Mabaya...
Wenda aliumiza wengi but it's all over now
Kuna na Amani mkuu,yameisha
Msamehe
Tukumbuke mema yake
Msiba upo wewe, sisi hautuhusuMnajadili vitu gani wakati tupo kwenye msiba
Angejua hayo angekua na roho nzuri.Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Nimejikuta nachekeshwa na comment yako...MmnhWamemtesa maiti mtu kafa siku kumi leo ndio mnatangaza
Unamjua Erick Kabendera , hivi yeye hakuwa mtoto wa mtu???Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
Wenawe! Mtoto wa mtu mtoto wa mtu, acha unafiki wako kama umekosa cha kuandika si ulale tu... au wewe mwenzetu mtoto wa fisi!!?Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
Inasikitisha sana. Hapa duniani tunapita. Nguvu, mali, madaraka vinatupa kiburi, tunajisahau. Baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha yasiyo na mwisho, na Mungu atamlipa kila mmoja wetu kwa kadiri alivyotenda hapa duniani.Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.
Unadhani watu wananunuliwa kirahisi kama nguo dukani? Niliacha siasa kwa sababu zangu mwenyewe. Mapenzi ya chama changu yako moyoni sio lazima niseme hapa. Sikuwahi kuwa mwana CCM hadi leo. Kinachoniuma ni kifo cha mtu basi hata angekufa mtu mwingine ningeumia hivi hivi.Si alikununua ndio maana ukatoka upinzani,wewe ni mnafiki unajali tumbo lako kuliko maslahi ya Taifa. Unaabudi MTU kuliko Mungu.
Hii utakuwa unafiki kama ubaya ni ubaya tu.Unakosea kaka....
MTU akisha kufa hatumsemi tena kwa Mabaya...
Wenda aliumiza wengi but it's all over now
Kuna na Amani mkuu,yameisha
Msamehe
Tukumbuke mema yake