shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Uwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Pole ila futa machozi mkuu. Kazi ya Mungu haina makosa. "Kwetu Pazuri" ni kwa kila binadamu.Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Kama binaadamu wengine ni kweli inauma.Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Mama yake yupo kwenye life support karibu mwaka wa 3 huu hajui kinachoendelea duniani.Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Mzee Makamba alisema “Huyu mtu anauliza uwanja wa Ndege Chato ni wanini, anataka Magufuli akifa tumpeleke kwao na malori”?Safari yao ya mwisho ni kwenye kupeleka mwili
Gone for good...!!!Uwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
ChemedaiUwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Hakika inauma sana! Mzazi kumzika mwanae! Na Uzee wote ule! Faraja ya Mungu iwe nasi!Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.