Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Pole ila futa machozi mkuu. Kazi ya Mungu haina makosa. "Kwetu Pazuri" ni kwa kila binadamu.
 
Masikitiko...kupitia hili nitajifunza kusoma mioyoni mwa mtu....Ngoja.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Kama binaadamu wengine ni kweli inauma.

Ila kama kiongozi tunasema asante Mungu kwa kuyasikia maombi yetu[emoji120]

Najua unajua nachokimaanisha, unayajua yote kabisa.
 
Mkuu, hali si shwari sana ila ipo managed.

Kuna mada nilileta humu jumapili asubuhi kuhusu utata lakini ikaondolewa na Mods haraka.

Kuhusu kudhibiti upo 90% hali ndivo inavyosemwa ilionekana.

Ila mambo yalofanyika kuna kikundi cha watu wakiongozwa na na mtu fulani watakuja kuanikwa hadharani na kupata shida sana.

Siwezi kuongea mengi lakini yasikitisha kuona jinsi sisi waafrika tunavyozidi kujidhihisha kuwa ni wadhaifu sana na tupo tayari kutumika wakati wowote kama dodoki.
 
Wiki hizi mbili zilizopita nadhani wazee wa kuusoma upenyo wamezipiga sana zile walizokuwaziangalia alafu zimenona ila wanaogopa show ya jeipm. Wasee wa halimashau, ma afisa vipenyo kama nawaona wakifanya yao kabla system haijajipanga.
 
Miradi aliyoianzisha Rais Magufuli nyumbani kwake Chato itaendelezwa na nani mara baada ya magufuli kutangulia mbele za haki?

Sote tunafahamu kwamba miradi iliyo mingi rais aliianzisha yeye kama yeye hata kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi hio miradi haipo.

-Je hii miradi itaendelezwa vipi ikiwa katika ilani ya chama cha mapinduzi haipo kabisa?

Magufuli pumzika kwa Amani.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Hakika inauma sana! Mzazi kumzika mwanae! Na Uzee wote ule! Faraja ya Mungu iwe nasi!
 
Back
Top Bottom