shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Ni ya ku demolish yote, tausi warudi ikulu, wanyama warudi serengeti, crdb ifungwe, tanesco ifungwe, mahakama ifungwe.
Veta isijengwe, nhc wasithubutu kujenga nk
Veta isijengwe, nhc wasithubutu kujenga nk
Uwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?