Nini hatma ya miradi ya Chato?

Ww nawe ni mtoto wa mtu na utakufa. Wote njia ni moja hakuna uspecial wowote kwenye kifo.
 
Chuo watu watasoma watoto wa wanyonge, mbuga itatumika hata na majangiri, hospital hiyo inauhitaji sana kila siku, uwanja wa mpira samahani, Airport [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
No body will take shit about Chato.

It was waste of money and time

Tuna Mambo mengi ya msingi Chato itajibeba yenyewe
 
Vitabaki vichache labda mahakama hopt na chuo cha veta
 
Laiti tungeambiwa mh.anaumwa hata dua zingefanywa makanisani na misikitini then Mungu angeamua lakini kwa hali hii sio vizuri kwa kweli
Kwa Mtu committed; Mungu hana mipaka kwamba eti mpaka uambiwe; Hata ukiomba dua ya Uzima kwa Rais; bado inaweza kufanya kazi; Kwamba eti mpaka usubiri uambiwe kitu ndio uanze dua mie naona hiyo sio sawa.
 
Uongo utaacha lini?
 
R.I.P Chato miradi ya kiupendeleo. Mungu mkubwa
 
Badala uwaze maombi wewe wawaza Mali za duniani naomba utuache tuko na msiba mnene mpendwa wa taifa kaondoka niko na majonzii.
Ni lazima tuendelee kuwaza na kuhoji mambo mengine.

Maisha mengine lazima yaendelee, He's gone!
 
Pole sana
 
Ulishawaza kuhusu Ben, wazazi wake, mkewe na watoto wake?
Uliwaza familia ya Gwanda azory, mkewe ambaye aliona akichukuliwa na hakurudi,wazazi na watoto wake?

Huyu unaemwita baba familia yote watamuaga na kumzika,je waliopotea bila kuzikwa?
WALE WALI KUWA WATOTO WA WANYAMA?
 
Tutalipwa hapa hapa DUNIANI. Issue ya Kabendera na mama yake iliniumiza sana. KAMA mzazi nilisikitika mno. Pua inaangalia chini kutuifunza kuwa wanyenyekevu na wenye ubinadamu. Sina mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…